Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
We mbona una akili dogo

Ruzuku inatoka na wabunge au Kura za uraisi
 
Wahamie CCM
Chadema ilivyo ni kwamba ukitofautiana na chama basi kutahusishwa ccm,yani hakuna ile hali ya kutofautiana mawazo au migogoro katika chama ambayo ikaishia tu ndani ya chama pasina kuhusishwa ccm.

Chadema pamoja na kwamba huwa inashirikiana na vyama vyengine vya upinzani ila huwa wanajiona kuwa wao pekee katika nchi hii ndio wapinzani na vyama vyengine vyote vinatumika au vimeanzishwa na ccm.
 
wapo sahihi kabisa, Membe sasahivi yuko wapi? Maalim yuko wapi, Nondo? Tangu lini Ndugai akamtetea Halima badala ya Halima atetewe na CHADEMA?
 
Sasa jiulize kwanini wanashirikiana nao ikiwa wanajua hivyo vyama vimeanzishwa na ccm au vinatumika na ccm? unataka kuniambia kwenye uchaguzi huu chadema walivyo shirikiana na Act hawakujua kuwa Act nayo ni chama kinachotumika na ccm? Huyo Maalim hii ni mara ya pili kuwa katika hiyo nafasi ina maana Chadema hawakujua kuwa Maalim seifu anatumika na ccm hadi wakashirikiana katika uchaguzi wa mwaka huu?
 
Kumjua shetani alijivika ngozi ya kondoo ni ngumu sn inabidi kumfuatilia kwa muda mrefu kidogo
 
Sijui unaongea nini? kwa sababu hiyo Act haijaanza leo kuhusishwa na ccm na Lissu alisema kuwa ACT sio chama cha upinzani bali kinatumika na serikali kuvuruga upinzani ila ajabu nikashangaa uchaguzi Chadema pamoja na huyo Lissu wakashirikiona na Act,na huyo Maalim alishawahi kuwa katika hicho cheo akiwa cuf na hadi kukawa na mzozo kati ya Chadema na cuf.
 
CCM na ACT walikuwa maadui wa kutupwa leo wanakula sahani moja, hakuna rafiki wa adui wa kudumu kwenye siasa.
 
Ccm na Act walikuwa na uadui gani? na ukisema hakuna adui wa kudumu kwenye siasa hivyo tutegemee ipo siku Chadema itakuja kuelewana na ccm.
 
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe bila CDM hata kula yako inakuwa shida
 
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
Chanzo vingine vinasema wameshalipana mishahara. Tupeane taarifa sahihi kama zipo
 
Zanzibar?

Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!

2015.CUF ilipata ruzuku kutokana na kura za urais Zanzibar!

Ndio nimemuuliza huyo Bavicha mwenzio Babati mwaka 2015 CUF ilipata kura ngapi (%) za urais?

Maana ilikuwa ya 3 kwa kupata ruzuku kubwa.

Zanzibar CUF haikushiriki uchaguzi ilipata wapi hizo kura za Urais??

Uchaguzi wa kwanza ulifutwa na Jecha. Ule wa 2016 March CUF haikushiriki ila walikua wanapata Ruzuku
 
CDM haita na haijawahi kufikiri kujiendesha ati kwa kutegemea RUZUKU - Kama hiyo ilikuwa inachukuliwa kama mtego kwa wake 19 basi wenzenu hata hawafikiri kabisa hilo jambo
 
Back
Top Bottom