Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Malipo ya serikali yapo wazi ofisi ya Paymaster General lakini sio busara hata kidogo kuweka public masuala ya malipo ya pesa.Kama una ushahidi wa transactions za account yao weka wazi Bwashee.
Hii ni privileged information. John Mbatizaji sio ethical kuweka wazi public hata kama unafahamu.