Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,774
- 93,547
Wahamie CCMNazungumzia hali ya kususa.
Wahamie CCMNazungumzia hali ya kususa.
We mbona una akili dogoKwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.
Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ilivyo ni kwamba ukitofautiana na chama basi kutahusishwa ccm,yani hakuna ile hali ya kutofautiana mawazo au migogoro katika chama ambayo ikaishia tu ndani ya chama pasina kuhusishwa ccm.Wahamie CCM
wapo sahihi kabisa, Membe sasahivi yuko wapi? Maalim yuko wapi, Nondo? Tangu lini Ndugai akamtetea Halima badala ya Halima atetewe na CHADEMA?Chadema ilivyo ni kwamba ukitofautiana na chama basi kutahusishwa ccm,yani hakuna ile hali ya kutofautiana mawazo au migogoro katika chama ambayo ikaishia tu ndani ya chama pasina kuhusishwa ccm.
Chadema pamoja na kwamba huwa inashirikiana na vyama vyengine vya upinzani ila huwa wanajiona kuwa wao pekee katika nchi hii ndio wapinzani na vyama vyengine vyote vinatumika au vimeanzishwa na ccm.
Sasa jiulize kwanini wanashirikiana nao ikiwa wanajua hivyo vyama vimeanzishwa na ccm au vinatumika na ccm? unataka kuniambia kwenye uchaguzi huu chadema walivyo shirikiana na Act hawakujua kuwa Act nayo ni chama kinachotumika na ccm? Huyo Maalim hii ni mara ya pili kuwa katika hiyo nafasi ina maana Chadema hawakujua kuwa Maalim seifu anatumika na ccm hadi wakashirikiana katika uchaguzi wa mwaka huu?wapo sahihi kabisa, Membe sasahivi yuko wapi? Maalim yuko wapi, Nondo? Tangu lini Ndugai akamtetea Halima badala ya Halima atetewe na CHADEMA?
Kumjua shetani alijivika ngozi ya kondoo ni ngumu sn inabidi kumfuatilia kwa muda mrefu kidogoSasa jiulize kwanini wanashirikiana nao ikiwa wanajua hivyo vyama vimeanzishwa na ccm au vinatumika na ccm? unataka kuniambia kwenye uchaguzi huu chadema walivyo shirikiana na Act hawakujua kuwa Act nayo ni chama kinachotumika na ccm? Huyo Maalim hii ni mara ya pili kuwa katika hiyo nafasi ina maana Chadema hawakujua kuwa Maalim seifu anatumika na ccm hadi wakashirikiana katika uchaguzi wa mwaka huu?
Sijui unaongea nini? kwa sababu hiyo Act haijaanza leo kuhusishwa na ccm na Lissu alisema kuwa ACT sio chama cha upinzani bali kinatumika na serikali kuvuruga upinzani ila ajabu nikashangaa uchaguzi Chadema pamoja na huyo Lissu wakashirikiona na Act,na huyo Maalim alishawahi kuwa katika hicho cheo akiwa cuf na hadi kukawa na mzozo kati ya Chadema na cuf.Kumjua shetani alijivika ngozi ya kondoo ni ngumu sn inabidi kumfuatilia kwa muda mrefu kidogo
CCM na ACT walikuwa maadui wa kutupwa leo wanakula sahani moja, hakuna rafiki wa adui wa kudumu kwenye siasa.Sijui unaongea nini? kwa sababu hiyo Act haijaanza leo kuhusishwa na ccm na Lissu alisema kuwa ACT sio chama cha upinzani bali kinatumika na serikali kuvuruga upinzani ila ajabu nikashangaa uchaguzi Chadema pamoja na huyo Lissu wakashirikiona na Act,na huyo Maalim alishawahi kuwa katika hicho cheo akiwa cuf na hadi kukawa na mzozo kati ya Chadema na cuf.
Ccm na Act walikuwa na uadui gani? na ukisema hakuna adui wa kudumu kwenye siasa hivyo tutegemee ipo siku Chadema itakuja kuelewana na ccm.CCM na ACT walikuwa maadui wa kutupwa leo wanakula sahani moja, hakuna rafiki wa adui wa kudumu kwenye siasa.
Wewe bila CDM hata kula yako inakuwa shidaKwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.
Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.
Maendeleo hayana vyama!
Chanzo vingine vinasema wameshalipana mishahara. Tupeane taarifa sahihi kama zipoKwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.
Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.
Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar?
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!
2015.CUF ilipata ruzuku kutokana na kura za urais Zanzibar!
Ndio nimemuuliza huyo Bavicha mwenzio Babati mwaka 2015 CUF ilipata kura ngapi (%) za urais?
Maana ilikuwa ya 3 kwa kupata ruzuku kubwa.