Kama ni kweli basi CCM mwisho wake ndio huu

MLIPAKODI

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
234
88
Wana jf,

Nimeipata taarifa kutoka sehemu mbalimbali katika mchakato wa uchaguzi serikari za mitaa kuwa CCM hawajasimamisha wagombea ina maana UKAWA wanapita bila kupingwa. Kwa mwenye habari kamili ya maeneo hayo atujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom