Kama ni kweli Barbara alisaini na Azam mbona hawaonyeshi huko Rabat?

Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe

Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake

Sisi coverage ya Simba kambini tunaipata kwa page za Simba inatosha,tukutane uwanjani ndiyo mambo yote
 
Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV.

Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana hela yao imeliwa bure?
Nilisema hapa kuna mtu ni wa hovyo sana!!..sasa hivi hata mwananchi hawaingi kambini,ukiwa club kubwa inataka uishi kikibwa sana!!..sasa tunapata taarifa siyo tetesi tena!!
 
Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe

Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
Azam alipie kuonyesha mambo kambini ndio Mpango wa sasa hatutaki bure bure
 
We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hilo


mwambie mechi za ligi ziko chini ya TFF ndo maana Azam walisign na TFF na sio vilabu na pia ndo maana wanatoa 2b kwa bingwa msimu ujao..

mkumbushe kuwa mkataba wa Yanga na Azam sio wa mechi za ligi ni contents za Yanga TV na social media
 
We kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?

Utakimbia kama kawaida yako.
Nenda kajifunze kwanza kuhusu kilichoandikwa na mtoa post ndo uje tena. Usije ukatufanya wote wajinga
 
Ndio sababu wewe ni masikini. Hakuna biashara isiyo na wivu. IPhone na Samsung wanaoneana wivu ndio maana wanazidi kuwa na mafanikio.
Wivu wa boss wenu Mo dewji wenu ni wa level za kichawi na kishirikina
 
Azam na Mohamed Enterprises ni wapinzani wa kibiashara.
Na hii ndio point kubwa ugomvi wao uko hapa simba na mashabiki wake wanataka kushirikishwa kwenye ugomvi wa kibiashara na unaweza kuiathiri simba maana azam anaenda kuimiliki ligi taratibu kupitia uwekezaji wake na anaweza kutumia hiyo kama njia ya kufanya payback kwa Mo kupitia simba
 
We kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?

Utakimbia kama kawaida yako.

Kuna kitu uelewe! Kuhusu mechi za Ligi Kuu Azam hawaingii Mkataba na Simba wala Timu yoyote bali wameshaingia Mkataba na TFF wa Bilioni hazipungua 225+ hivyo bado hupo sahihi na Mtoa mada anaweza kuwa yupo sahihi.

Timu inaingia Mkataba kwenye haki za matangazo yote isipokuwa yale yanayomilikiwa na TFF tu yaani mechi za Ligi kuu na FA ambazo mpunga anavuta TFF na kuwagawia Timu.

Hivyo ipo hoja ya kujadili kama Azam aliingia Mkataba na Simba tokea Januari ambayo ni mwanzo kuliko Simba kwanini mpaka leo imeshapita Miezi 8 Azam harushi matangazo ya Simba? Na kwanini kwa kipindi chote hicho bado Simba inamiliki mwenyewe haki zake za Matangazo na kuzirusha kinyume na huo mkataba tunaoambiwa upo?
Mbona Yanga wameingia mkataba Juzi tu na haki zote za matangazo wameshazimiliki Azam na wanarusha kwenye Vyombo vya Azam? Why not kwa Simba?
Inamana simba kamuibia Azam hizo hela?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom