Kama ni chaga basi mimi nimepewa na kitanda chake

ACHA KUJI STRESS NA MTU ALIEAMUA KU MOVE ON, ILI UKOMAE LAZIMA UPATE MAUMIVU KTK MAPENZI, THERE IS NO LEARNING WITHOUT DOING WRONG THINGS, KOSA UMEFANYA AND STILL UNAJIUMIZA KWA MTU AMBAYE UME LET HER GO, NAJUA KUMPENDA NA KUMUACHA AU KUACHANA KUNAUMIZA ILA ILI MAISHA YASONGE YOU MUST LEARN TO TOLERATE UR PAIN,ISITOSHE WEWE NI MTOTO WA KIUME, UNA NDOTO NYINGI KAMA WALIVYO WATU WENGINE NA PIA UNA MTU WAKO SINCE FROM LOW HUYO MTU ULIMPATA KAMA AJALI NA KAONDOKA KAM AMBULANCE SO FOCUS TO UR WOMAN AND YOUR SELF CAREER, LEARN TO LET THINGS GO AWAY IF SO AND IF THEY HURT YOU. HOLDING PAIN CAN BE A SETBACK, UKIZIDIWA NENDA KWA WATOA NASAHA NA WANASAIKOLOJIA WAKUSHAURI ZAIDI, ILA CHUNGA SANA MAPENZI YASIMWAGE MCHANGA KWENYE UGALI WAKO WA KILA SIKU.
Thex bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikifikilia naumia sana mpaka inafik wakat wanawake wote nawaona wabaya kwang ila mt wangu ambaye nimemtaja mwanzo yupo chuo anasomea udaktar naish nae vizur kila sik ananipigia si kanimis tok nianze mahusiano na hiki ki mwanake kilichonipa shit sijwah kwamwe kuruhusu angilie mahusiano na huy dem wang ambae yupo chuo ofcos nilitenda zambi ya kumcheat dem wangu wa chuo but god forgive me ila bado naendelea nae tatizo liko hapa uyu mwanake nilimpenda sana kiasi kwamba nabaki saiv naumia mimi ila wanawake nawapa ushaur wanaume mpaka tunawaoa tunaanglia vit vingi sana hatukurupuki japo bado naumia mpaka saiv wana jamiii nishaurini jaman stress izi ntazipoteza vp maana haziishi bado naumia mimi 2

Kwa kweli bi dada hakufanya poa ila ndo ivo njaa mbaya. Na mapenzi kizungumkuti. Imagine ulivyoumia hadi umefungua uzi umeconfess kila kitu! Sasa jaribu tena kuimagine huyo demu wako wa chuo ausome huu uzi na aelewe ni wewe ndo umeandika vile atakavyojickia.
When you set your foot out to cheat, do not by any means expect everyday will be christmass! Wanadamu ndo sisi sisi na wewe mmojawapo.
 
Wanawake ambao hawana kazi ni miyeyusho sana, wana tamaa sana na kibaya wanawake ni watu wa kutongozwa daily so ukishindwa kumtimizia alaf kuna wadau wamemkomalia na wanaonesha nia ya kusupport kile ulichoshindwa anakubwaga......Mwanamke mda wote yupo nyumban tuu anawaza ngono yaan ni taabu sana
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Pole sana...

Umevamia mlanguzi wa mapenzi... ameikaanga roho yako, na kuiacha imenyauka kama mti...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom