Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

CDM walikosea ku apply principle ya "One Size Fits All". Walipaswa wakae chini na wataalamu wa Siasa za vyama. Watahmini miaka 10 nyuma walifanya nini na walikwama wapi? Then hii Serikali ya SAMIA ni ya namna gani na na ni vipi wanapaswa kukabiliana nayo.

Kama kweli Mbowe anaweza kumpandisha MDUDE CHADEMA akiwa ametoka jela ya miezi 10, na kumtukana Rais SSH, huwezi kunishawishi kuwa Chama kina Ma STRATEGISTS. Kinapuyanga kwa matukio.

Hakuna mtu mwenye akili na hekima atakikubali CDM
Wanabuluzwa wanakosa nafasi ya kufikiri kwa usahihi
 
Back
Top Bottom