Kama nguvu hii ingeelekezwa kwenye uzalishaji tungelikuwa matajiri sana........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama nguvu hii ingeelekezwa kwenye uzalishaji tungelikuwa matajiri sana........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 17, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia wakati Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Wilson Mukama (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia kwenye Viwanja vya Bakhressa, Manzese, Dar es Salaam Jumamosi, ikiwa ni ziara yake ya kujitambulisha yeye pamoja na Sekretarieti yake mpya. (Picha na Fadhili Akida).
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wamekodishwa hao, wanashangilia posho zao tu.. Umeona mwananchi hata mmoja alievaa nguo za kawaida hapo?
   
Loading...