Kama NEC ingemtangaza Dr Slaa mshindi JK angefanya kama Gbagbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama NEC ingemtangaza Dr Slaa mshindi JK angefanya kama Gbagbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Dec 24, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hebu tujaribu kufanya hypothesis kidogo. Hypothesis huruhusiwa iwapo kunatokea mtiririko wa matukio ambayo misingi yake inafanana.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Iwapo Lewis Makame – mwenyekiti wa NEC angekuwa amejaliawa ujasiri, uadilifu na nguvu na kuwa mkweli – na akamtangaza Dr Slaa kuwa ndiye mshindi wa urais katika uchaguzi uliyopita, uhakika ni kwamba JK na genge lake wangemnyang’anya Dr Slaa ushindi, kwa staili ya Gbagbo.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Mimi nadhani hapo hakuna mjadala:[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]–[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Kwani Tanzania ni nchi ya Kiafrika ambayo kamwe haimo katika nchi zile zenye kufanya chaguzi za haki.[/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]–[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Tumeona jinsi CCM walivyonyang’anya ushindi katika majimbo kadha ya Ubunge, tena bila hata ya aibu! [/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]–[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Tumeona chaguzi za umeya zinavyohujumiwa kavu kavu![/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot]–[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Tumeona jinsi Tido alivyohujumiwa eti tu kwa kuonekana kutenda haki kwa vyama vya upinzani![/FONT][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Sasa katika hali ya namna hii, CCM kweli ingekubali Dr Slaa kuapishwa?[/FONT]
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hivi hilo lina mjadala? Itakuwa ni "Miafrika in action!"

  Katika makala yake katika East African wiki iliyopita Jenerali Ulimwengu alisema: "Ingawa nchi za Kiafrika zinaonekana kushindwa kwa mengi sana, lakini kuna hili la wizi wa kura ndiyo zinaonekana kupata ufanisi mkubwa."
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Asingeweza maana Dr Slaa aliwahi kutamka wazi mbele za wananchi kwamba nusu ya usalama wa taifa wanaripoti kwake hivyo wangeligawana nchi nusu angelitawala JK na nusu nyengine Dr Slaa
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani JK ana tofauti na Gbagbo? Mada ingekuwa kwa nini ameng'ang'ania madaraka!
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hizo ni ndoto, Slaa asingeweza kushinda Urais, ameshindwa kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki, ndio maana jumuiya za kimataifa zimempuuza kelele zake na kumuona hana akili timamu, imebidi awe mpole tu kwa kuona aibu ya kushindwa !!! Teh Teh Teh
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nina hakika hujanielewa kwani sikusema Slaa ameshinda. Nilichokisema ni hypothesis -- yaani iwapo Slaa angeshinda na NEC kumtangaza (au kujitayarisha kumtangaza Slaa kuwa mshindi) -- jee JK angekubali Slaa aapishwe? Si angenyang'anya ushindi tu kama vile Gbagbo?

  Hapo mwanzo nimetoa mchanganuo wa matukio kwa nini JK na genge lake wangeweza kabisa kufanya kitu kama hicho -- yaani kumnyang'snya ushindi Dr Slaa.
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kisingetokea hicho kitu, kwani kwa CCM ushindi ni lazima !
   
Loading...