Kama ndo ivi chadema isiungane na wapinzani rejareja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ndo ivi chadema isiungane na wapinzani rejareja!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gsana, Nov 1, 2010.

 1. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi tulidhani ingekuwa vema Chadema na upinzani kuungana,kweli hatukuona mbali. Kutokana na mambo yalivo katika matokeo, ccm,chadema na cuf vinaonekana. Ila cuf ina kura 1,ccm kura 400, chadema kura 705, ii imeonekana katika vituo vingi sana. Kwa iyo wangeungana wangeongeza kura 1, sipendi tena kutoa hoja za kuunganisha upinzani,nawasilisha tujadili baada ya matokeo yote ya mwaka 2010.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Watanzania, naomba sana tuache fikra hizi za choyo... hizi ndizo zilizofikisha Tanzania hapa tulipo

  ni fikra hizihizi mgando ndizo zinazosababisha tushindwe biashara, afya nk... huu ni uchoyo na mbolea nzuri ya ufisadi...

  CHADEMA, ungana na yeyote anayependa maendeleo ya nchi hata kama ni CCM.... lets build our country in peace, harmony and UNIT

  Matokeo rasmi hayajatoka, we havent heard any news from remote constituents, zanzibar etc....

  Let me preach to all ya to ignore Gama's motive... it is ratehr disintegrating our spirit
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  TUPO PAMOJA:yield::yield:
   
 4. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Thanx mkuuu!
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  naunga mkono hoja
  wapinzani hawa rejareja waliungwa mkono na chadema hapo awali lakini hawakutaka tena kuipa chapuo.
  Mkuu ACID na wengine, msidhani ni gharama nyepesi vyama kuungana kwa sheria na katiba ya bongo. Wametofautiana kisera. tunataka heshima ya nchi irudi kwanza ndipo kuungana baadaye
   
 6. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kijana usifanye mzaha,mafisadi ndo nyie hamna muda wa kufikiria mnakimbilia kujibu! Mi nasema wasiungane katika kampeni kuingia ikulu maana ukiangalia vyama pinzani katika vituo zaidi ya 80 niliyoona cuf wana kura si zaidi ya 4, wakati ppt,nccr,nk hawana hata kura moja,sasa unategemea kuungana ili iweje? Wangeze kura sifuri? Mbona unakuwa kilaza sana! Alaf eti...ata wakiungana na ccm poa tu!...ivi itikadi na sera zao zinaendana?ivi chadema na ccm wanaweza kuungana! Ama kweli hata ukiweka mageneous pamoja bado utapata kilaza ndani yake. Si mpaka upewe zawadi ya phd kujua ninachomaanisha. Nasisitiza kwa matokeo ya awali,hamna aja ya upinzani kuunganisha nguvu. Angalia takwimu Tz bara,analyse,Lete hoja usikurupuke kujibu,sawa Tindikali?
   
Loading...