Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,712
- Thread starter
- #21
Sana kabisa mkuuHii ni kufuru
Sana kabisa mkuuHii ni kufuru
Tena bila gharama za utafiti kujua kama kwenye ardhi hiyo kuna dhahabu ama la maana tayari wameziona zimewekwa tofauti na wachimbaji wa kawaida wa dhahabuKama dhahabu zinachimbwa na kufukuliwa ardhini...
Hawataona shida kufukua kaburi na kuzichomoa kutoka kwa marehemu...
Cc: mahondaw
Kabisa wanajichukulia aiseeeTena bila gharama za utafiti kujua kama kwenye ardhi hiyo kuna dhahabu ama la maana tayari wameziona zimewekwa tofauti na wachimbaji wa kawaida wa dhahabu
Duuh, watu wengine wanakufuru
Hapo ukifukua na kumtemesha hayo madini yote huyo marehemu, lazima upate thawabu kwa Mungu kwa maana tulizaliwa bila kitu lazima tuzikwe bila kitu
Pamoja na yote hii ni kufuruImefanyika hivyo kutokana na maagizo yake aliyotoa kabla ya kifo chake ambapo alidai ana maadui wengi ambao wanaweza kumwinda hata akiwa kaburini....
Former Powerful Minister, Nicholas Biwott, will be buried in a gold bullet proof coffin to protect him from enemies.
In a will, Biwott said even in death enemies would be all over him. He therefore demanded that he be buried inside a bullet proof coffin so as to scare away people aimed at him. He also told his beloved ones to bury him in a golden coffin, to symbolize his social status.
The tycoon’s coffin has been ordered from USA after it was established that a casket of this nature could not be found in Kenya. Anytime this week the coffin will arrive in the country under maximum security.
Biwott was a man who constantly feared everyone and anyone. He was afraid of death. A secretive man, the former Minister never allowed any person near his compound unless iit was a close family member. Even in death, it was his wish to be protected
Basi sawaWanasema hakuzikwa nazo, muda kabla ya kuzikwa alitolewa vyote, maana na miguuni alikuwa kavishwa Timberland original lakini pia alivuliwa
Sasa marehemu anawezaje kuwa punguani??.Yeye punguani, waliomzita taahira. Kwa vile sipendagi ujinga hazikwi nazo ningekuwepo.
KivipiHapa Ndio uwendawazimu wa binadamu unapoonekana