Kama mzee mwinyi alijiuzulu sababu ya tukio moja kwanini Mwigulu asijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
816
1,000
Kipindi Mh.Ali Hassan Mwinyi akihudumu kama waziri wa mambo ya ndani palitokea na tukio la jeshi la polisi kufanya torturing kwa watuhumiwa wa mauaji ya vikongwe..kwa kosa tu moja la torturing kwa watuhumiwa mzee mwinyi alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani


Turudi kwa ndugu Mwigulu tokea ahudumu wizara ya mambo ya ndani mauaji kedekede yamejitokeza ,tumeshudia cases nyingi za uvunjifu wa haki za binaadamu zikifanywa na jeshi la police tukianza kuorodhesha tutakesha lakini ndugu waziri kama kaziba masikio.

Kama mwinyi tukio moja tu kufanyika alijiuzulu kwanini ndugu Mwigulu matukio lukuki yamefanyika chini yake asifanye ungwana kujiuzulu

f44b45a3bf74e10bdfebb5f13bbbdb8c.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom