Kama Mwigulu angekuwa raisi wa nchi, angeshasaini kunyongwa wafungwa wote wanaosubiri kunyongwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Kama umefuatilia mwenendo wa mwanasiasa huyu hasa kwa kutazama matukio anayotuhumiwa kuhusika nayo,kauli na michango yake pale mjengoni, ni dhahiri utaridhika na kuamini kuwa ni mtu mwenye roho ngumu na pengine amekosa "ubinadamu".

Pale mjengoni zikiletwa sheria kandamizi lazima aunge mkono!Ikija hoja kuhusu mauaji atatetea wauwaji. Hata waliouwawa katika mikutano ya chama X sehemu mbalimbali nchini hakosi kutajwa!

Huyu jamaa akishika dola,wafungwa wa kisiasa watakuwa mamia na wengi wataishia jela kama sio kuuwawa.

Kwa maneno machache tu,huyu jamaa akibahatika kuingia pale magogoni cha kwanza itakuwa kusaini wafungwa wote wanaosubiri hukumu ya kifo wanyongwe.Kwa jinsi navyomuona,akiletewa document kama hiyo atasaini mara moja huku akitabasamu.

Huyu ni mtu ambae damu ikimwagika kwake sio issue na ndio maana hata ile sheria kandamizi ya mwaka 1976 kuhusu .... aliunga mkono ipitishwe pale mjengoni!
 
No comment!
 
Sasa kama wewe sio mwanasiasa muovu usieshiriki kutoa watu kucha na kuwamwagia tindikali hofu yako iko wapi siku komredi Mwigulu akienda mtaa wa Luthuli?
 
Kama umefuatilia mwenendo wa mwanasiasa huyu hasa kwa kutazama matukio anayotuhumiwa kuhusika nayo,kauli na michango yake pale mjengoni, ni dhahiri utaridhika na kuamini kuwa ni mtu mwenye roho ngumu na pengine amekosa "ubinadamu".

Pale mjengoni zikiletwa sheria kandamizi lazima aunge mkono!Ikija hoja kuhusu mauaji atatetea wauwaji. Hata waliouwawa katika mikutano ya chama X sehemu mbalimbali nchini hakosi kutajwa!

Huyu jamaa akishika dola,wafungwa wa kisiasa watakuwa mamia na wengi wataishia jela kama sio kuuwawa.

Kwa maneno machache tu,huyu jamaa akibahatika kuingia pale magogoni cha kwanza itakuwa kusaini wafungwa wote wanaosubiri hukumu ya kifo wanyongwe.Kwa jinsi navyomuona,akiletewa document kama hiyo atasaini mara moja huku akitabasamu.

Huyu ni mtu ambae damu ikimwagika kwake sio issue na ndio maana hata ile sheria kandamizi ya mwaka 1976 kuhusu .... aliunga mkono ipitishwe pale mjengoni!
Usisahau watafuna ruzuku za chama nao watakuwa matatani
 
Mwigulu Nchemba ni janga la kitaifa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi nawashangaa sana watani zangu wanyilamba kwa kuumpa ubunge huyu jamaa!
 
Last edited by a moderator:
SAVIMBI, na yeye wangelimuuwa....

_1837847_corpse300afp.jpg

Usisahau watafuna ruzuku za chama nao watakuwa matatani
 
Mwigulu Nchemba is just another small Hitler in Tanzania in a making.

Kama huyu jamaa ataruhusiwa kushika Madaraka makubwa katika nji hii basi atapeleka roho nyingi sana ahera hasa za wapinzani! Huyu jamaa ukimwangalia kwa watu waliosoma Saikolojia anaonekana kabisa ni katili na muuaji asiye na huruma hata chembe.Mwangalie anavoongea,body language yake,mwonekano wake na tembea yake. Something somewhere in his tiny and small Brain there is Virus doing a horrible destruction!! Mwigulu Nchemba surely needs either counselling or total medical treatment!!!

Watu wanaweza kurejea mauaji ya Ndago kule Singida, Uchaguzi mdogo wa Igunga,Uchaguzi mdogo wa Arumeru na Bomu la Soweto pale Arusha. Kwa watu makini wanajua kabisa katika matukio yote hayo Mwigulu alihusika kwa asilimia 99.9999% kama siyo 100%.

Hapa huhitaji upelelezi wa IGP Mwema,Kova wala Intelijensia yoyote ta Polisi. Ni mambo yako wazi kabisa na hata Polisi wote,Usalama wa Taifa,Green Guards, CCM na Serikali yote wanalijua.

Ipo siku inakuja isiyokuwa na jina,haya mambo yatawekwa hadharani!!!Wapi Hitler,wapi Iddi Amini,wapi Bokassa, wapi kina Pieter Botha na makaburu wake.

Chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho. Haijalishi itachukua muda gani,ule mwisho lazima utakuwepo tu!
Kwa hiyo Mwigulu asijidanganye,Biblia inasema kikombe uwapimiacho wengine na wewe utapimiwa kwa kipimo hichohicho.

Wasalaamu.
 
Mwigulu Nchemba is another small Hitler in Tanzania just in a making.
Kama huyu jamaa ataruhusiwa kushika Madaraka makubwa katika nji hii basi atapeleka roho nyingi sana ahera hasa za wapinzani! Huyu jamaa ukimwangalia kwa watu waliosoma Saikolojia anaonekana kabisa ni katili na muuaji asiye na huruma hata chembe.

Watu wanaweza kurejea mauaji ya Ndago kule Singida, Uchaguzi mdogo wa Igunga,Uchaguzi mdogo wa Arumeru na Bomu la Soweto pale Arusha. Kwa watu makini wanajua kabisa katika matukio yote hayo Mwigulu alihusika kwa asilimia 99.9999% kama siyo 100%.

Hapa huhitaji upelelezi wa IGP Mwema,Kova wala Intelijensia yoyote ta Polisi. Ni mambo yako wazi kabisa na hata Polisi wote,Usalama wa Taifa,Green Guards, CCM na Serikali yote wanalijua.

Ipo siku inakuja isiyokuwa na jina,haya mambo yatawekwa hadharani!!!Wapi Hitler,wapi Iddi Amini,wapi Bokassa, wapi kina Pieter Botha na makaburu wake.

Chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho. Haijalishi itachukua muda gani,ule mwisho lazima utakuwepo tu!
Kwa hiyo Mwigulu asijidanganye,Biblia inasema kikombe uwapiamiacho wengine na wewe utapimiwa hivohivo.

Wasalaamu.

Mkuu umenena vyema.

Mtu mweye roho katili anatambulika kwa elements zake tu kama huyu bwana.

Huyu hata angepewa uwaziri mkuu tu ingekuwa ni majanga.
 
Kwa CCM wanamwona ni jembe maana anaisadia CCM kusambaratisha wapinzani hasa CHADEMA!
Ngoja tusubiri Katiba mpya tupate mwelekeo. Tunajua CCM wameshafanya mbinu na mikakati ya kukwamisha mambo mengi ya msingi.

Tunajua hata Kifo cha Dr.Sengondo Mvungi kuna mkono wa Serikali ya CCM. Sijui kwanini Watanzania wanapenda kupuuza mambo na kuyasahau kirahisi badala ya kuchimba na kufuatilia chanzo cha tukio!! Inasikitisha sana kuona Viongozi wa chama Tawala wanashiriki kwenye njama za mauaji kwa kuhofia Katiba Mpya isije ikawanyang'anya madaraka!!!Ni aibu sana.

Watanzania wanatakiwa kuamka, maana kuche kucheere!!
 
CC: simiyu Yetu Ritz ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Dah huu uandishi mwingine bhana,kwakuwa upo na Id ya uongo basi unakuja na shutuma.Wewe kama una hoja za msingi weka na ushahidi hapa sio unakurupuka tu unajaza server za JF. Huyo mtu unaemzungumzia hata sijawahi kumsikia akisema anampango wa kugombea urais na wala hakuna mtu anamfikiria kama atakuja kupita kugombea hicho kiti.
Siku nyingine bandiko la namna hii peleka kule jukwaa la Jokes sio hapa.Modes saidia huyu kiumbe kapotea njia,mmpeleke sehem husika.
 
Sio kosa lako,tatizo ni tarehe ya kujiunga hapa JF.
 
anaempa kiburi akiondoka madarakani atatubu tu.

Ngoja tuendelee kumuhesabia matukio yake
 
Sio kosa lako,tatizo ni tarehe ya kujiunga hapa JF.

Kama kawaida yako unakurupuka kwa majibu mepesi, Mi nimejiunga muda mrefu sana tangu enzi za Jamboforums.Ila nina ID nyingi na hainifanyi niandike kipuuzi kama uandishi wako wewe.JF haikuanzishwa ili kupaka watu matope bila sababu za msingi,ingekuwa hivyo hata isingefika hapa ilipo.Hiki sio kijiwe cha kahawa, ni jukwaa la manufaa na linaheshimika.
 
heri mi nisiseme... maana inatosha yalisemwa kwa leo... mwigulu ni zaidi ya yote hayo...
 
Kama kawaida yako unakurupuka kwa majibu mepesi, Mi nimejiunga muda mrefu sana tangu enzi za Jamboforums.Ila nina ID nyingi na hainifanyi niandike kipuuzi kama uandishi wako wewe.JF haikuanzishwa ili kupaka watu matope bila sababu za msingi,ingekuwa hivyo hata isingefika hapa ilipo.Hiki sio kijiwe cha kahawa, ni jukwaa la manufaa na linaheshimika.

Kama wewe sio mwigulu basi utakua mke wake au mpenzi wake au king'asti wake
 
Nilifikiri angeua watu wasio na hatia kumbe wale death row inmates? Hamna tatizo kabisa maana mahakama imeshawapata na hatia hata akisaini kunyongwa ni sawa.
 
Back
Top Bottom