kama mwigulu alihonga elfu kumi vijana wafanye fujo na wakafanya basi CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama mwigulu alihonga elfu kumi vijana wafanye fujo na wakafanya basi CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 19, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama tuhuma ni za kweli vijana walihongwa elfu kumi kufanya fujo na wakafanya CCM itatawala milele.
   
 2. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cdm msijitambishie vijana wako nanyi
   
 3. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Bora hata hao waliohongwa elfu 10. Wapo watu TZ hii ambao wakipewa ubwabwa tu wanabwatuka mbaya!
   
 4. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ila mwigulu kichwa
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Inategemea ni vijana wa namna gani?, hawa walio hongwa tzs 10000 iliwafanye fujo ni kutoka Dar es salaam na baadhi ya viongozi wa kijiji cha Ndago.. kama ujuavyo hata jambazi akifa kuna wa kumlilia, hivyo hivyo CCM ina vijana wake kama akina Ritz @rejeo na wengineo.. ieleweke kazi ya kuitoa CCM madarakani siyo ndogo wala si lelemama, lazima chadema wajipange hasa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi sijakusoma kabisa na hasa hapo kwenye red!najiuliza sipati jibu hivi wenzangu wamekuelewaje?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,348
  Likes Received: 22,202
  Trophy Points: 280
  Cha panzi
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  basing on what?
   
 9. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hana muda mwili wake utakuwa hivi.....

  [​IMG]
   
 10. koo

  koo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Msangi baada ya hukumu
   
 11. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  juzi bungeni kuna mbunge aliuliza kwa nini tangu mwigulu aanze kazi ya kuongoza kampeni za ccm kumekuwa na mauwaji kama meru ,igunga .pande na sasa ndago nk

   
 12. C

  Chibenambebe Senior Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kichwa mpaka awe na madesa ya kukariri huoni sasa alivyo kwenye real life anavyotoa uharo wa maneno? Ukichwa wa madesa Sometimes ni nothing katika maisha ya kawaida Ndo ilivyo kwa Mwigulu!!!!
   
Loading...