Kama mwandishi wa habari Talib Ussi amesimamishwa kazi kwa kutoa ripoti ya corona, ni kwanini Makonda anaendelea na kazi kwa kufanya kosa hilo hilo?

Kwa hiyo kama afya si suala la Muungano maana yake mtu wa Zanzibar akidhuru afya ya mwenzake na wa bara akafanya hivyo hivyo wa bara hana kosa ila wa Zanzibar ndio kafanya kosa? Kwani afya ya mtanganyika ni tofauti na afya ya mzanzibari?
 
31721808-scared-ostrich-burying-its-head-in-sand.jpg

Kiongozi mkuu wa Tanzania
 
Back
Top Bottom