Kama mwanaume kikojozi unakosa mchumba soma hapa plz.

Wala hata ucjali mie transporter always on the road xo utakojoa kwnye cabin twende kaz.!hakuna nouma
 
Kwa kua yy transporter ntkjoa kwny cabin,mungu yp huenda ukkjoa ww kwenye cabin kbl yng maana kwk hamn analoshindwa.
 
Hahahahahaaaa,c cheki kwa furaha na cheka kwa uchungu,lbd 2 ni kwambie k2 ki1 wahenga wamesema "hujafa hujaumbika"mm na mf hai bibi yng alikua akiniteta kwa hii hl yng ikatokea kpt ajali saivi hj ndg inamtk km mtt,take care with ur tongue,ulimi ni k2 kdg sn bt kinaweza kikakufanya ukakufuru au kuamini,bt linaweza lickkt ww likamkt yyt wa krb ktk kizazi chako mwanao au atakae kuja kua mwanao,au ht mjukuu,ikijtkz iyo hl uctaft alokuroga kumbuka kwamba kuna ck ulimi uliu2mia vby jf,na kuna methali hua inamana kwa mwenye akili"uc2kn wa kunga na uzazi ungalipo".nc lf bby!
 
Malipo duniani akhera hesabu,bibi yng angejua nn ktmtokea acnge niteta mm,alf mungu hulipa kwa mtenda kheri ujira mara dufu na kwa mtenda shari pia humlp mara dufu pia,mm ttz lng ni 9t2 mchana ht km ntalala masa12 ttz halijitokezi,sasa mungu kamlipa yy kwa sasa 24hrs.Mungu mwamcheni aitwe ivo ivo mungu.
 
Thnx ntafanya ivo,bt huenda likawa limejadiliwa ila lng nitft nataft lover amby atk ma hsbnd badae mwenye cf nilozieka kwenye post.
 
Pole sana bibie kwa mtihani huo ulionao,ni heri kwako kwa kuwa umejikubali..lakini ningependa nikushauri ya kwamba pamoja na kuendelea kumtafuta huyo ambaye anafahamu adha ma madhila ya masahibu hayo bado usichoke kutafuta tiba.Hilo ni tatizo ambalo hapa chini ya jua tiba yake inawezekana kwa mapenzi ya Muumba mbingu na ardhi hivyo usijikatie tamaa kwa kuacha kusaka tiba....pole Mtaftaji mungu

nashkuru kwa faraja yk kwng na ushauri wk kwangu ntaufanyia kz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom