Kama mwanamke hafiki kileleni tatizo si la mwanaume

Jabakeke

JF-Expert Member
Apr 18, 2019
386
355
Hakuna sababu ya kuhangaika sijui kutumia mkuyati, sijui vumbi la Bongo kwa ajili ya kumridhisha mwanamke,anayetakiwa kuhangaika ni huyohuyo mwenye tatizo la kuchelewa kufika kunako.

Nilihangaika sana nikajiona dhaifu ,niliyenaye Sasa hivi sipigi pampu zaidi ya sita anakuwa tayari ameanza kuniita majina mazuri hatimaye usingizi wa pono,mtakufa kizembe na hizo dawa za kuongeza nguvu nk ukiona anachelelewa kufika kunako mtafutie dawa yeye mwenye tatizo sio wewe usiekuwa na tatizo.
 
Mbona hueleweki mara umepitiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Hii ndo JF bwana
Fake IDs mpaka jinsi nazo fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Hana hata kumbukumbu, chezea I'd fake weyeeeh
 
Mbona hueleweki mara umepiliza siku zako mara hii tena unasema unapiga pump

Wewe ni jinsia gani?

Unataka kujua jinsia yangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom