Kama mwanahalisi lingekuwepo

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
848
1,212
Halo jf members, Unadhani nini kifanyike ili Gazeti la Mwanahalisi litoke kifungoni. Mwanzoni lilifungwa kwa siku 90 likafunguliwa, sasa hivi kifungo kimekuwa kikubwa zaidi( mpaka sasa takribani siku 150). Pengine tunaingia 2013 bila Mwanahalisi.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Ukweli ni kuwa Watanzania wengi wangetaka adhabu hii kwa "MWANA HALISI" isitishwe sasa na Saeed Kubenea aanze tena kutuelimisha kwa mawaidha yake.

Kama ni kupiga Kura tupige!!!!!!!!
 
Hii thread yako itaondolewa sasa hivi, kisa inahusu mwanahalisi ! Mimi nilileta thread yangu humuhumu Jf , nilitaka kujua aliyetoa wazo la kufungiwa mwanahalisi ,kwamba ni kweli waziri ndiye aliyetoa tamko lakini je ni nani hasa aliyetoa wazo la kufungiwa mwanahalisi ? Maana ni lazima kuna aliyetoa wazo , Weee ! Kwani ilidumu hata kwa nusu saa ! Walipoanza kutajwa baadhi yao tu , ilitupiliwa mbali , sasa sijui kama kuna mods wenye maslahi kwenye jambo hili .
 
Lingeandika kwa undani jinsi kiongozi mpya wa magamba alivyoshiriki biashara haramu ya pembe za ndovu. Tungejua in and out.
 
Nalienzi mwanahalisi kwa kujenga chuki kwa wanafunzi wangu juu ya serikali ya ccm.kila nikiingia lzma nipige politics
 
Usipate taabu na kutokuwepo kwa Mwanahalisi. JF ipo siku zote. Hivyo kama una zali lolote wewe mwaga hapa utapata kila utakacho tena kilichopikwa na kupikika. Nadhani Mwanahalisi waliyataka wenyewe yaliyowakuta hasa ikizingatiwa kuwa mkurugenzi wake Said Kubenea alikuwa kigeugeu wa kula na serikali huku akiipiga mawe. Alipaswa aachane na usuhuba na watu wa serikali hasa kwenye dili la kumpeleka India kila mwezi akilipwa pesa kibao kwa kisingizio cha matibabu.
 
Baba,

Pamoja na kuwa JamiiForums ina waandishi wengi lakini ukweli ni kuwa nguvu ya MwanaHalisi kwa Watanzania ilikuwa kubwa kuliko JF. Watu wanaofuatilia mitandao si wengi na "interface" ya Watanzania wengi na gazeti ni very touching kuliko mtandao. Kwanza habari za mitandaoni hazioneshi kuwa na credibility kama za gazeti. Mitandaoni ambako watu wanatumia majina bandia habari za kuchonga ni nyingi na hazina uzito kwa kuwa hakuna anayekuwa responsible moja kwa moja. Hujaona watu wanaandika "....... amekula rushwa" then wadau hapa JF wanamuuliza "Source?"?, MwanaHalisi haliulizwi source. MwanaHalisi hakuna ChitChat!!

Ndiyo maana unaweza ukaona allegations za mambo sensitive hapa JF ni nyingi lakini impact yake ni ndogo lakini issues 3 tu za gazeti kama MwanaHalisi ni balaa.

Usishangae watu hapa kutoa vitisho vya "SUBIRI 2015" lakini mwaka huo "ukaja na ukapita" na ukajiuliza hao waliokuwa wanatoa vitisho wako wapi....hutawapata maana tunawajua kwa majina ya mitandaoni tu. Huo ndiyo ukweli.

Mwanao.
 
Mwanangu Magembe R Malima nimekubaliana nawe. Kweli ukijua hili wengine wanajua lile. Nilijikita kwenye upande mmoja bila kuangalia wa pili. Hata hivyo, kanuni ya maumbile huwa hairuhusu ombwe. Nature does not allow vacuum. Mbona kuna gazeti la Raiamwema kwenye viatu vya Mwanahalisi? Hakuna anayefurahia kufungiwa kwa Mwanahalisi. Sema kama taifa ilitubidi tuwe tumejiandaa kwa any eventuality. Maana kama Mwanahalisi linategemea mtu mmoja maana yake ni kwamba akifa basi ndiyo kila kitu kimezama. This is sad and absurd for the country of over 40 million people.
Baba,

Pamoja na kuwa JamiiForums ina waandishi wengi lakini ukweli ni kuwa nguvu ya MwanaHalisi kwa Watanzania ilikuwa kubwa kuliko JF. Watu wanaofuatilia mitandao si wengi na "interface" ya Watanzania wengi na gazeti ni very touching kuliko mtandao. Kwanza habari za mitandaoni hazioneshi kuwa na credibility kama za gazeti. Mitandaoni ambako watu wanatumia majina bandia habari za kuchonga ni nyingi na hazina uzito kwa kuwa hakuna anayekuwa responsible moja kwa moja. Hujaona watu wanaandika "....... amekula rushwa" then wadau hapa JF wanamuuliza "Source?"?, MwanaHalisi haliulizwi source. MwanaHalisi hakuna ChitChat!!

Ndiyo maana unaweza ukaona allegations za mambo sensitive hapa JF ni nyingi lakini impact yake ni ndogo lakini issues 3 tu za gazeti kama MwanaHalisi ni balaa.

Usishangae watu hapa kutoa vitisho vya "SUBIRI 2015" lakini mwaka huo "ukaja na ukapita" na ukajiuliza hao waliokuwa wanatoa vitisho wako wapi....hutawapata maana tunawajua kwa majina ya mitandaoni tu. Huo ndiyo ukweli.

Mwanao.
 
Hii thread yako itaondolewa sasa hivi, kisa inahusu mwanahalisi ! Mimi nilileta thread yangu humuhumu Jf , nilitaka kujua aliyetoa wazo la kufungiwa mwanahalisi ,kwamba ni kweli waziri ndiye aliyetoa tamko lakini je ni nani hasa aliyetoa wazo la kufungiwa mwanahalisi ? Maana ni lazima kuna aliyetoa wazo , Weee ! Kwani ilidumu hata kwa nusu saa ! Walipoanza kutajwa baadhi yao tu , ilitupiliwa mbali , sasa sijui kama kuna mods wenye maslahi kwenye jambo hili .

That is why JF will never be like or similar to Mwanahalisi. It is more than an investigative paper, kama Serikali ingekuwa makini basi wangekuwa wanafuatilia from what and Where Mwahalisi iliishia for the betterment of this poor but rich nation.
 
Mwanangu Magembe R Malima nimekubaliana nawe. Kweli ukijua hili wengine wanajua lile. Nilijikita kwenye upande mmoja bila kuangalia wa pili. Hata hivyo, kanuni ya maumbile huwa hairuhusu ombwe. Nature does not allow vacuum. Mbona kuna gazeti la Raiamwema kwenye viatu vya Mwanahalisi? Hakuna anayefurahia kufungiwa kwa Mwanahalisi. Sema kama taifa ilitubidi tuwe tumejiandaa kwa any eventuality. Maana kama Mwanahalisi linategemea mtu mmoja maana yake ni kwamba akifa basi ndiyo kila kitu kimezama. This is sad and absurd for the country of over 40 million people.

Baba,

Ni kweli asili hairuhusu ombwe. Hata hivyo ombwe la maziwa katika bilauri si lazima lichukuliwe na maziwa pia, linaweza kuchukuliwa na chai au uji, vyote ni vimiminika (kwa muktadha huo). Raia Mwema ni jepesi (less viscous) kuliko MwanaHalisi.

Habari ambayo MwanaHalisi wangeiandika "Magembe ame......" RaiaMwema wanaiandika "Kigogo mmoja mwandamizi......" Kimsingi RaiaMwema ni gazeti la uchambuzi wa kisiasa zaidi na uchunguzi kidogo wakati MwanaHalisi ni kinyume chake (vice-versa).

Ni kweli kuwa, kuwa na Kubenea mmoja haitoshi lakini kuna suala la kuaminika pia. Vyanzo vya habari nyeti huwa havimuamini kila mtu... vina watu wake... akina Kubenea... wenye tabia na uthubutu... usiri na labda mbinu fulani za kujihami... kumbuka Kubenea alisurvive hata baada ya "hard disks" za ofisini kuchukuliwa na wanausalama... ni waandishi wangapi wanajua securities za viwango hivyo... au ku-take trouble juu ya mambo kama hayo?

RaiaMwema ni raia mwema, MwanaHalisi ni mwananchi halisi (hajali kama ataonekana raia mwema ama la).

Mwanao.
 
Back
Top Bottom