Kama mwakalebela alinunua gari baada ya mapato ya mechi ya simba na yanga wambura utatoka na nini ??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kwa walioa kuwa jiran na mh wetu ambae kama si mkono wa mungu leo hiia ngekuwa anaitwa mh mwakalebela
najiuliza huyu bwana mechi ya simba na yanga ilipoisha wakahesabu ngawila siku inayofwata akaenda kununua gari
nzuri tu kwa usalama wake atuwezi kuitaja najiuliza simba na yanga ya juzi huyu wambura boniface ametoka na nini
na ngao ya hisana atatoka na nini hope atokuwa limbuken kama mwenzake aliepita kujionyesha onyesha
niceweekend
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom