KAMA MUNGU YUPO NI YUPI HASA ANAYEAMINIWA KWELI YUPO?

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
3,663
3,882
Hivi karibuni kumekua na malumbano mbali mbali ya hoja kuhusu uwepo wa mungu,kuhusu either yupo au hayupo
Wanaomanini wamekua wakisema kama hayupo ni kwa nini uhai upo na vyote viujazavyo ulimwengu,lazima kutakua na super designer ambaye wanaamini ni mungu.
Wasioamini nao wanasema kutokujua majibu ya maswali yako sio justification kwamba mungu ndo chanzo wanaenda mbali zaidi na kusema mungu huyo ambaye mostly ameandikwa kwenye vitabu vitakatifu ana contradictions nyingi
Pande zote wanajitahidi kuji defend kwa hoja wanazoona ni sawa kwao
Lakini ukiangalia kwa kina mjadala unapoanza wanaoamini uwepo wa mungu unakuta wanakua kitu kimoja lakini ukienda deep utakuta hawako sawa ndo nikaja na swali moja KAMA MUNGU YUPO NI YUPI HASA ANAYEAMINIWA KWELI YUPO?
Waislamu wanaamini Allah ndo Mungu pekee anayestahili kuabudiwa,wakristo wanaamini Mungu ana nafsi tatu na zote ni za kuabudiwa yaani Mungu baba,Mungu mwana(yesu) na roho mtakatifu,wahindi nao wanaamini ng'ombe ni Mungu
Sasa twende pamoja yaani wanaoamni Mungu kwa umoja wenu,je Allah(regardless ni lugha ya kiarabu) ndo yesu?yesu ni Mungu?Wakristo Allah ndo yesu au ndo roho mtakatifu?Waislamu mnaamini na mnaona umuhimu wa roho mtakatifu?Waislam kwa wakristo Mungu ni ng'ombe?Wahindi Ng'ombe ni Allah au Yesu?
Nataka hapa tutoke na kauli moja na failur to answer that due to contradictions means kuna wanakini mkubwa sana kuhusu hizi dini hata kama Mungu yupo(japo mpaka sasa hatufikia conclusion)
Karibuni wanazuoni wote,atheists,philosophers,wapagani.wafia dini na watoa mapovu wote mnakaribishwa na leo ni siku ya kufua
 
Mungu ni fikra, ndiyo maana kuna wanaoamini ng'ombe, wengine picha, wengine mawe, na wote ukiwauliza wanadai kile wanachokiabudu ndiyo Mungu wao wa kweli!

binafsi naweza sema Mungu ni fikra/imani, na hiyo imani inajengeka ndani ya nafsi. na ili imani yako ikuwe/ijengeke sharti ufate, utende matendo yaliyomema, .
 
.......,.........,..........,. .........,....!......................,......................,........... ......... ................................ ........... .....,.................. ............. .?...............................*................/...///////........................................... .................???????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom