Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini!

Ninavyofahamu Marais wote waliowahi kuitawala Tanzania Nyerere, Mwinyi na Mkapa at anytime
waliwahi kutunukiwa honorary Doctorate, lakini sikuwahi kuwasikia kamwe wakijiita/wakiitwa
Dr. so and so

Lakini kwa huyu tuliye naye sasa ni tofauti kabisa. Je ni kwanini JK yuko so obsessed kuitwa Dr. Kikwete?
 
Na yule aliyepewa Udaktari waheshima wakati fulani kule nchini Kenya, na hivi karibuni PHD ya heshima pale mlimani hapaswi kupokwa?
Hebu tafakari kabla ya kuropoka....................

Tehe tehe .... duu! Simchezo, nimekupata vema.
 
Mwanae Salama ni Dr wa meno anaona aibu mtoto kamzaa juzi tu sasa hivi anaitwa Dr. Ndo cause ya hizo obsession.
 
Prof. Julius. K.Nyerere, alitunukiwa na UDSM na ktk speech yake ya kuukubali u Prof. awaliaambia akina mzee Bomani na Prof.Mathew Luhanga and team kuwa yeye ni Profesa tayari akirejea fasiri ya kifaransa.
 
kwani huku kwetu nani kapewa nyingi kama si huyu raisi wa kwetu? wachukue tuuu nitafanya party ikiwa hivyo
 
Nyerere has received honorary degrees from the University of Edinburgh (UK), Duquesne University (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), National University of Lesotho,[SUP][21][/SUP] University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa), Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).

He received the Nehru Award for International Understanding in 1976, the Third World Prize in 1982, the Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983, the Lenin Peace Prize in 1987, the International Simón Bolívar Prize in 1992, and the Gandhi Peace Prize in 1995.

President Yoweri Museveni of Uganda awarded Nyerere the Katonga, Uganda's highest military medal, in honour of his opposition to colonialism and Idi Amin's government in 2007.

we should call him dk?
 
Nasikia M.kwere anang'ang'ana kuifikia rekodi ya Nyerere kwa kupewa degree nyingi za heshima hata chuo chetu cha Marangu University tunataka kumpa M.kwere Uprofesa wa heshima kwa Safari zake za Nje zilizovunja rekodi kabla hajaondoka madarakani na mimi mwenyewe Prof. Prof.Prof. Kinyungu and Chancellor of Marangu University ndiye nitakaye mpa hako ka-uprofesa kalikotukuka kwa safari zake zilizotukuka za kwenda kuhemea net na kuleta wawekezaji wa maduka ya reja reja na madalali wa madini.
 
mkuu Mtambuzi vipi digrii isiyoyakupewa inaweza pia kunyanganywa iwe ni shahada ya kwanza, pili au ya tatu!?

Mkuu Remote, binafsi siamini kwamba maarifa yanaweza kupokwa,

Kilichotaka kupokwa kwa Mugabe ni zile degrii za heshima, hizi hazina mashiko kwa sababu ni za heshima.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwa taarifa yako JK 2010 alilazimisha apate hizo honorary degree lengo aitwe Dr ili awe sawa na Dr Slaa, na anapenda sana kuitwa Dr hata baadhi ya hotuba zilizokuwa zikiandaliwa kile kipindi cha kampeni usipomwita Dr alikuwa anamind. Yaani jamaa mwoga sana coz kabla CDM hawajatangaza mgombea alikuwa amebweteka sana akijua atashinda tu coz CDM Wangemweka Mbowe na CUF lipumba. Mwishoni kabisa baada ya kuona CDM wamemtangaza Dr Slaa jamaa aliweweseka sana na ni mwoga sana kupambana na challenge. Kama mtakumbuka alipohutubia pale Lumumba akaanza kusema adui usimakadirie silaha we tumia silaha ya aina yeyote. Alihaha sana ndo maana akaanza kutafuta hiyo honorary degree kutoka UDOM lengo lake aitwe Dr afanane na Slaa, kumbuka karatasi za kupigia kura ziliandikwaje. Sasa angapta kama za nyerere si angetaka aitwe profesa. Jk kilaza sana anapenda cheap popularity sifa za kijinga. Go to hell Jk
#Mkuu umemchana bila kupapasa macho!
Ni kweli viongozi wengi sana hawapendi kuitwa dk hasa wakupewa! Lakini yeye anaona sifa kweli kweli!
.we hujui huwa anapenda sifa! Tumwache mr misifa.
 
Jk anatakiwa anyang'anywe kwa kuwa hana jambo jipya la kimaendeleo na ki ubunifu alichofanyia jamii labda udini na umbea.hivi UDSM alipata class gani?hata kujiendeleza kidogo?****** noma
 
lakini hawa Wazungu wanamfanyia hivi Mugabe kwa kuwa hawafati wanayotaka siwezi ufurahia kitendo hiki kwann wazungu wanatunyanyasa kudadeki zao ila siku yao ipo ntachinja kama kuku, kama mwafrika mwenzako asipotendewa haki basi usifurahie wazungu hawana point za msingi bali ni kukataa Mugabe kuyafata yao
 
Dr. JK vya kupewa tena bure ni gharama. Kama unapenda uwe Dr. Wa ukweli kama kina Lwaitama, ludi darasani ukimaliza mda wako nawe ujipatie Phd yako.
 
mkuu Mtambuzi vipi digrii isiyoyakupewa inaweza pia kunyanganywa iwe ni shahada ya kwanza, pili au ya tatu!?

Chuo kilichotoa digrii kinaweza kufuta digrii hiyo endapo itathibitika kuwa mtunukiwa aliipata kwa udanganyifu mfano alifoji sifa za kujiunga au alifanya udanganyifu katika mitihani yaani alikuwa 'mdesaji'. Ole wao wanaofoji vyeti vya F4, 6, Diploma etc na wale wanaoendekeza madesa ndani ya vyumba vya mithani!
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mnamo mwaka 2007 Chuo Kiku cha Edinburgh cha huko Scotland nchini Uingereza kilitangaza kumnyang'anya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Shahada ya heshima waliyompa miaka takriban 20 iliyopita.

Na huko nchini Marekani pia, Rais wa chuo Kikuu cha Massachusetts (UMass) Jack Wilson,alithibitisha kwamba, chuo hicho kipo katika nafasi ya kuchukua hatua kama hiyo juu ya udaktari wa heshima wa sheria waliyompo Rais Mugabe hapo Oktoba 1986, baada ya mkutano wake na bodi yake ya mambo ya kitaaluma na mwanafunzi. Wasiwasi wangu ni kwamba, kutokana na mwenendo wa kisiasa hapa nchini, sitashangaa, iwapo hali hiyo itatokea…………..

Nyie subirini tu, time will tell……………………
tunajua unatamani sana kikwete anyan'ganywe hizo degree feki za heshima. labda tu nikuulize, zinamsaidia nini hizo degree zenu. kuanzia wewe na hao wapumbavu wenzako na hata hao wenye hizo maPhD(nikiwemo mimi)/maProf. si chochote kwa cheo cha urais. Je unajua hilo? kwa kudhihirisha ujinga na chuki zako eti unacompare na Rais wa Ukweli Mh. Mgabe. tena yule aliyekataa kuwa kibaraka ya hao mabwana zako. Leo hii wanamnyan'ganya hizo unazoziita degree (non tangible) kwa kukataa kuwatumikia eti unamuuona mpumbavu. kwa taarifa yako wewe ndo mpumbavu. Kwa taarifa yako, hata mkapa alipoingia madarakani aliwatuma usalama wa taifa kwenda kuchukua passport ya mwinyi, cha kushangaza mwinyi akwapa na ya mke wake, nyerere aliposikia akamwambia, we ben haraka sana mrudishie ali passport yake. yatosha kusema, akili zenu zinafikiria urefu wa pua, hata kama mna madegree.
 
ngwendu,

..mugabe amenyanganywa ma-degree kwasababu ya kukataa kuwa kibaraka.

..JK wanazidi kumtunukia kwasababu amekubali kuwa kibaraka wa wakubwa pamoja na wawekezaji.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mnamo mwaka 2007 Chuo Kiku cha Edinburgh cha huko Scotland nchini Uingereza kilitangaza kumnyang'anya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Shahada ya heshima waliyompa miaka takriban 20 iliyopita.

Na huko nchini Marekani pia, Rais wa chuo Kikuu cha Massachusetts (UMass) Jack Wilson,alithibitisha kwamba, chuo hicho kipo katika nafasi ya kuchukua hatua kama hiyo juu ya udaktari wa heshima wa sheria waliyompo Rais Mugabe hapo Oktoba 1986, baada ya mkutano wake na bodi yake ya mambo ya kitaaluma na mwanafunzi. Wasiwasi wangu ni kwamba, kutokana na mwenendo wa kisiasa hapa nchini, sitashangaa, iwapo hali hiyo itatokea…………..

Nyie subirini tu, time will tell……………………

unawatisha magamba, kama mbeba unga akiona canine anakaribia alipo.Yaani magamba wanahisi unamsogeza mbwa ili awadake na unga.Ni wengi tuu wamejipigapiga wapate prefix DR.
 
Dr. JK vya kupewa tena bure ni gharama. Kama unapenda uwe Dr. Wa ukweli kama kina Lwaitama, ludi darasani ukimaliza mda wako nawe ujipatie Phd yako.
Nilipata nafasi kulizungumzia jambo hili kipindi kilichopita ingawa siyo vibaya kurudia tena kwa faida ya watu wengi zaidi. Utambulisho huu wa mtu kuitwa Daktari ama Doctor kwa Kiingereza huwa unakuja kwa namna tatu. Namna ya kwanza ni kuwa mtu unaweza kuitwa Daktari ikiwa umesoma Chuo Kikuu na kufuzu Fani ya utabibu wa magonjwa ya Binadamu ama wanyama wewe unastahiki kuitwa Daktari kama alivyo Dakt Ali Mohamed Shein, namna ya pili mtu anaweza kuitwa Daktari ikiwa amesoma Shahada ya kwanza na ya pili ya Uzamili na ya tatu ya Uzamivu katika fani yoyote ile iwe Sheria kama alivyo Dakt Harrison Mwakyembe ama Dakt Festus Limbu mwenye Shahada ya Uzamivu katika mambo ya Uchumi ama Dakt John Pombe Magufuli alie na Shahada ya Uzamivu katika fani ya Kemia na namna ya tatu mtu anaweza kuitwa Daktari ikiwa Chuo Kikuu chochote ulimwenguni kimeamua kuutambua mchango wa muhusika katika kuisaidia jamii na kumtunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima na ndiyo kwa namna hii ya tatu tunampata Dakt Jakaya Mrisho Kikwete mimi sioni tatizo lolote la msingi kwa nini Dakt J M Kikwete awe na hofu ya kutumia utambulisho huu ambao umeonwa na Chuo Kikuu kilichomtunuku Shahada hiyo ya Udaktari. Tujitahidi kuwa waelewa maana kila kukicha ni kumzodoa Mheshimiwa Raisi kwa mambo ambayo yako wazi aachwe atumie utambulisho wa Daktari kwa kuwa kesha tunikiwa watu tunalalama kwa vitu ambavyo hatuvijui ila kwa kuwa fulani kasema basi nasie tufuate mkumbo tu hapana! Mimi nasema ni haki kwa Daktari Kikwete kutumia utambulisho huo tuache fitna ambazo hazitusaidii tunachekwa na wanaofahamu!
 
Back
Top Bottom