Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Mugabe aliweza kunyang’anywa Degree ya heshima, sitashangaa hilo likitokea hapa nchini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtambuzi, Nov 10, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp]Nakumbuka mnamo mwaka 2007 Chuo Kiku cha Edinburgh cha huko Scotland nchini Uingereza kilitangaza kumnyang'anya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Shahada ya heshima waliyompa miaka takriban 20 iliyopita. [/FONT]

  [FONT=&amp]Na huko nchini Marekani pia, Rais wa chuo Kikuu cha Massachusetts (UMass) Jack Wilson,alithibitisha kwamba, [/FONT][FONT=&amp]chuo hicho kipo katika nafasi ya kuchukua hatua kama hiyo juu ya udaktari wa heshima wa sheria waliyompo Rais Mugabe hapo Oktoba 1986, baada ya mkutano wake na bodi yake ya mambo ya kitaaluma na mwanafunzi.[/FONT] [FONT=&amp]Wasiwasi wangu ni kwamba, kutokana na mwenendo wa kisiasa hapa nchini, sitashangaa, iwapo hali hiyo itatokea…………..[/FONT]

  [FONT=&amp]Nyie subirini tu, time will tell…………………… [/FONT]
   
 2. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Hilo kweli maana dkt augustino lyatonga mrema anastahili kunyang'anywa.pia yule dkt wa cdm naye mambo ya aibu anayoyafanya anastahili kunyang'anywa phd yake,haiwezekani dr mzima ukaitisha mgomo wa kugomea maamuzi ya mahakama.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kumbe degree za kupewa zinaweza kunyang'anywa? Ok
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Na yule aliyepewa Udaktari waheshima wakati fulani kule nchini Kenya, na hivi karibuni PHD ya heshima pale mlimani hapaswi kupokwa?
  Hebu tafakari kabla ya kuropoka....................
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,156
  Trophy Points: 280
  Hivi Nyerere aliwahi kupewa hizi Digrii za heshima? kama ndio, ilikuwa ya nini?
   
 6. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 914
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  Nyerere has received honorary degrees from the University of Edinburgh (UK), Duquesne University (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), National University of Lesotho,[SUP][21][/SUP] University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa), Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).

  He received the Nehru Award for International Understanding in 1976, the Third World Prize in 1982, the Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983, the Lenin Peace Prize in 1987, the International Simón Bolívar Prize in 1992, and the Gandhi Peace Prize in 1995.

  President Yoweri Museveni of Uganda awarded Nyerere the Katonga, Uganda's highest military medal, in honour of his opposition to colonialism and Idi Amin's government in 2007.
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Hapa watu lazima mtofutishe kati ya shahada ya heshima ya uzamivu na ile ya kuingia darasani/kufanya utafiti yaani shahada ya uzamivu wa udaktari wa falsafa (PhD). Shahada ya heshima kama inavyojulikana "a degree honoris causa" It is not customary, however, for recipients of an honorary doctorate to adopt the prefix 'Dr'. Kwa maana nyingine ni yule mwenye PhD ya darasani jina lake linatakiwa lianze na Dr. (mfano Dr. W.P Slaa) Hivyo makosa makubwa kuandika sehemu yoyote ile mfano Dr. Jakaya Kikwete. Katika nyakati zote waliokutunuku wanaweza kukunyanganya hiyo heshima waliyokupa.
   
 8. R

  React Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  And he bearly mentioned it. He humbled his title to mere 'mwalimu.' Rest in piece...!
   
 9. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa lazima apokwe tu. Nani watakubali kuendelea kutunuku shahada yao ya heshima kwa mtu mmwagaji damu kiasi hiki? Labda wawe mafisadi wenzie.
   
 10. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  It is not customary, however, for recipients of an honorary doctorate to adopt the prefix 'Dr'. Nyerere alijua miiko ya hiyo shahada ya heshima ndiyo maana hakuwa anaandika Dr. Nyerere.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,156
  Trophy Points: 280

  Kwa hiyo na yeye ni Dokta Nyerere au siyo?
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,156
  Trophy Points: 280
  Kwani ulisha msikia Kikwete kajiita mimi ni Dr. Kikwete? au Kaandika mimi ni Dr. Kikwete?
   
 13. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  naona imekuuma sana . naona huwa hufuatilii vyombo vya habari ndiyo maana unabisha hili.
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  It seems you are so obsessed with JKN! But I can tell you one thing: Your hero (he even tried to copy the great man's initials thinking we'll be fooled to accord him what the old statesman earned) is and will never be equal to him! Respect is earned and never given!
   
 15. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sasa kwa taarifa yako JK 2010 alilazimisha apate hizo honorary degree lengo aitwe Dr ili awe sawa na Dr Slaa, na anapenda sana kuitwa Dr hata baadhi ya hotuba zilizokuwa zikiandaliwa kile kipindi cha kampeni usipomwita Dr alikuwa anamind. Yaani jamaa mwoga sana coz kabla CDM hawajatangaza mgombea alikuwa amebweteka sana akijua atashinda tu coz CDM Wangemweka Mbowe na CUF lipumba. Mwishoni kabisa baada ya kuona CDM wamemtangaza Dr Slaa jamaa aliweweseka sana na ni mwoga sana kupambana na challenge. Kama mtakumbuka alipohutubia pale Lumumba akaanza kusema adui usimakadirie silaha we tumia silaha ya aina yeyote. Alihaha sana ndo maana akaanza kutafuta hiyo honorary degree kutoka UDOM lengo lake aitwe Dr afanane na Slaa, kumbuka karatasi za kupigia kura ziliandikwaje. Sasa angapta kama za nyerere si angetaka aitwe profesa. Jk kilaza sana anapenda cheap popularity sifa za kijinga. Go to hell Jk
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana nikasema tangu awali kwamba, sitashangaa iwapo watampoka........................ Nyie subirini tu.......
   
 17. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Pamoja na mambo mengine kwa habari ya uongozi namwadmire sana Rais Mugabe...ni kiongozi wa aina yake whom amepitia pori na nyika,kupakwa matope sana na kunenewa kila aina ya baya huku sumu hii ipipenya kwa kasi sana kwa waumini wa Mabepari wa Magharibi ambao baada ya kutukalia kiakili wanapropose tuoane wenyewe kwa wenyewe ili turudishie kidogo katika fungu kubwa walilotuibia...
   
 18. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Unaweweseka tuu, akitajwa bwana ako mkwe.re.. yule dr wa cdm hakupewa kama hongo. Aliingia darasani. Anayestahili kupokkwa ni huyu aliepewa kama kulipa fadhira
   
 19. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Wakati nchi nyingi za kiAfrika, hasa zile zilizokuwa chini ya Waingereza, zinakaribia kupata uhuru viongozi wengi waliotarajiwa kuchukuwa uongozi waliperwa hizo degree za heshima za farisafa kama njia ya kuwaghiribu. Hivyo wengi walikuwa na hizo titles: Dr. Nyerere, Dr. Milton Obote, Dr. Kaunda, etc. Lakini baada ya kupata uhuru wengi waligundua ujuha waliokuwa wamevishwa na kuziacha hizo titles.
   
 20. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Mugabe does not need honorary degrees. He has four or five legally and fairly earned academic degrees, most of them acquired while he was in colonial Rhodesia prison. In any case Mugabe has never used the prefix Dr. which to me is an irrelevance because it has no relationship with a person's knowledge, skills or problem solving capability.
   
Loading...