Kama mshahara haupitii CRDB huruhusiwi kukopa

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,259
Kama mshahara haupitii CRDB huruhusiwi kukopa CRDB kwakweli hii sheria mpya itatukimbiza wengi.
Hiki kifo cha kujitakia na hakinaga pole.
 
Na ndio maana sasa hv wanapitia mdororo mkubwa sana wa kiuchumi hiyo benk,imekosa ubunifu kabisa,itapitwa hata na Mkombozi
 
Back
Top Bottom