Kama moyo chukua!

Sasa ni zamu ya moyo wangu,maana figo na mapafu ulishaviteka!

Penzi lako ni kama hewa safi ya oxygen, inayopita katika viunga vya mwili na kuupa uhai uliotukuka!

Ucheshi na ukarimu wako ni tuzo tosha katika maisha yangu, hata kilio chako kimekuwa ni ngazi ya kukomaa kwa mapenzi yetu!

Tone la wivu wako kwangu ni kama ukuta wa babeli, siponyoki na wala sichoropoki. Naahidi kukulinda, kukutunza na kukupenda kwa maana naijua kiu yako kwangu.

Hata seli za mwili wangu husheherekea pindi zisikiapo sauti yako tamu. Moyo wangu nao hudunda kwa kufuata mapigo ya moyo wako, kwani mioyo hii miwili hutambuana kama watambuanavyo wapemba kwa vilemba!

Sina mengi laaziz ila usije kuongeza kizizi.😉
mashairi bila hela ni kazi bure
 
Kabla ya kuanza na mashairi yako anza na kho! kho! yaw yaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom