Yaani ni mwendo wa kujimwambafyNi mwendo wa vitisho na ubabe
We jamaa wapi hii?
Kuomba hakutawasaidia dawa ni kupambana nao tu,Jino kwa jinoKweli bali ni mbaya. Tuzidi kufunga na kuomba. Hili pepo lazima lishindwe
Kweli hali ni mbaya, na hii ni hatari. Taifa limeshaingia kwenye mtihani mgumu sana. Kilichobaki hapa ni rehma za m/mungu tu, maana viongozi ndio wameshalianzisha hivyo.Aibu sana
View attachment 1234305
,Picha hii. CCM enzi za Kikwete, na hapo ilikuwa bado sana.View attachment 1234342
Kujimwambafai mwambafai