Kama mnapendwa nguvu hii yote ni ya nini? Tazama video clip hii

IMG_1183.JPG

Kujimwambafai mwambafai
 
This is not a chama cha Magamba colony, you must know that. You are idiot" By Mugabe the great au chuma cha relii, au Katapila ukipenda muite Transifoma.
 
Afande Mabeyo na Afande Siro, Busara, Hekima ziwatawale muisimamie haki,

Musiyumbishwe na wanasiasa hata kama ni yule aliyekuteua,

Mwambie NO, NO, NO, NO, NO.

Hizi dalili si njema, kama wamesusa kujiorodhesha,

Itakuwaje kama wakiamua kwenda barabarani,

Risasi hazitafua dafu kwenye nguvu ya watu waliochoka na jambo.

HIZI KAULI ZA KUBEZA, KUDHARAU NA KUJIMWAMBAFY UTAFIKURI NI KIPINDI CHA KAMPENI HAZINA AFYA KWA TANZANIA YETU.

KAMPENI BADO JAMANI.

SHIME MAAFANDE NAWATAKIA HEKIMA, BUSARA NA UJASIRI.
 
,Picha hii. CCM enzi za Kikwete, na hapo ilikuwa bado sana.

Tuzidi kumwomba Mungu kwani yakifurumka sasa hali itakuwa mbaya zaidi.

Na kama tutashikilia njia hii hii, hakika hatutapona.

Sasa hivi hao jamaa wa magwanda ya kijani wamekwishapewa ruhusa 'kutoa cha moto" wakichokozwa!
 
Back
Top Bottom