Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
Una umri gani boss!?
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Ukitaka usiwe na stress chukulia kuwa anatoka na mtu mwingine lkn anaheshimu haonyeshi hadharani

Ili uwe safe

Maana wanaoamini hivyo ndo wanaongoza kuua na kujiua

Imagine ck ya ck ukamkuta live anafumuliwa na njemba ambayo Fala haswa utafanyaje

Usiamini uko PEKE yako take it easy
 
Kama mkeo malaya sio hao tu hata muuza genge atamgonga tena kwa kumuhonga nyanya mbili.

Vijana usioe malaya na ikitokea umeoa malaya usisitishe kumuacha arudi kwa masela waendeelee kujilia vyao
 
So byutiful

Kwenye huu ulimwengu ambao nafsi za watu zimejaa vidonda na makovu lukuki, nyingine zimeshajifia na haziaminn tena katika mapenzi ya kweli; kukuta mwanamume anaamini katika mapenzi; anampenda na kumuamini mwanamke wake, and speaks so highly of her... Aisee naamini huyo mwanamke anajua ni kiasi gani amebarikiwa kuwa na wewe; add hopeful she doesn't take your trust for granted. Keep blessing your woman by the word of your mouth. Ukayaone na kuenjoy matunda ya maneno mazuri unayomnenea
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
 
Amen. Endeea kumnenea maneno mazuri mpenzi wako. Wengine hata wapewe wanawake wema; wataua tu huo wema kwa maneno yao mabaya wanayowatamkia
Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
 
Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatar.

Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na shughuli za kila siku za kiserikali halafu kitengo Chao kinaogopewa kinyama halafu kwasababu wana hela chafu na wako smart aisee nkeo piskali itakuwa tu jamaa yangu.

Hayo ndio maisha.

Mzee mbona unakuja kumwaga mishe zetu huku? Dadeq zako...
 
Hao Dawa Yao Ni moja tu, tafuta picha Yake kwa kila namna Halafu nenda pemba.

ONYO: Uwe na roho ngumu maana atakachofanywa inabidi uwe na roho ngumu. Na adhabu utachagua wewe! Either awe mgonjwa maisha yote, afe au awe chizi.

Jamani kuwa na pesa sio kuwa na nguvu zote, usiombe ukaingia anga za watu wanaojua sehemu za kukuumiza bila pesa.
Wapemba hawatanii utamsikia "mimi namwachia Mungu........",akipotea kwa wiki kadhaa akirudi jua lazima kuna mtu kishapewa discipline.
 
Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
Pole
 
Na hapo ulioa mke uku ukiwa umepika goti, unatoa machozi mwenyewe, kamasi kwa mbaaali na kujamba kwa vituo.

Na mke anatiwa kwa uzuri tu. Poleni
 
Upo sahihi kabisa.Wapo wengine ni ndugu zetu wana njaa kali hela hawana wanagongea hadi hela za nauli.

Wanaonufaika zaidi nk wale top lakini hawa wadogo ni masikini kama walivyo watumishi wengine.Tatizo watu wanaaminishwa sana na story za vijiweni ila sie tunaishi nao kabisa ni choka mbaya.
Watu gani mnawaongelea? Sijaelewa chochote huu uzi
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Nyie ndio mnajinyonga mwisho wa siku au kuchapa watu na risasii...

Moyo utashuka kwenye makalio hiyo siku utakapo gundua bodaboda mtaa wa pili anabembea na manzi yako
 
Back
Top Bottom