Kama mke wa mtu ni sumu je mume wa mtu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mke wa mtu ni sumu je mume wa mtu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mambomoto, Jul 29, 2011.

 1. m

  mambomoto JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  And vice versa is true
  Kote kote ni kubaya
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  mume wa mtu ni maziwa ya kuneutralize sumu
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh hapa naona unahalalisha kabisa
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Parking at owner's risk
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yeah na utakapokuta gari lako limedondokewa na mti usilalamike maana ni at your own risk
  Na utakaporudi home na ukakuta mama watoto amefungasha kila kitu na kuondoka zake ni at your own risk
  Na utakapotolewa ngeu na mwenye mali wakati umefumaniwa ni at your own risk
  Na matumizi ya nyumba ndogo yatakapoongezeka na nyumba kubwa ikawa inalala njaa ni at your own risk
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Wababa semeni sasa, nitarudi.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mume wa mtu ni dawa.

  hasa akiwa ameathirika tayar.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  na atakapokupa kaugonjwa pia ni at yr own rsk
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  na utakapokuwa msukule wa nyumba ndogo ni at your own risk
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Maamuzi yote utakayoyafanya ni at your own risk
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Stick to what you have
  Nyama ni ile ile tuu tofauti ni mapishi na mfundishe uliye nae akupikie mapishi tofauti utaona ladha mpya kila siku
   
 13. giningi

  giningi Member

  #13
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ........at ur own risk hahaha.....,hivi naomba kuuliza kama una nyumba ndogo hafu ukamfumania unaumia kama ambavyo ungeumia kwa mkeo?
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni nyumba ndogo na umeifumani tena hapo kimbia maana usalama ni sifuri kabisa
  maumivu sidhani maana hapo unajua kabisa kuwa ni jamvi la wageni halifai
   
 15. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yaani sio sumu. msibishane na wahenga.
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  wanaumia sana nilishawahi sikia mme wa mtu kataka kujiua sababu kamfumaania nyumba ndogo yake
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mume wa mtu ndio sumu zaidi kushinda hata ile sumu ya panya! Cha ajabu mwezi uliopita kuna stori ililetwa humu jamvini (aliyeileta nimemsahau), inayodai kuwa hawara wa mwanamme alimuua mke wa ndoa wa huyo mwanaume eti kwa kushindwa kujizuia wivu wake! Jamani ndoa ziheshimiwe!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  poison
   
 19. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sumu kali
   
Loading...