Kama Mkapa amekiri Majambazi ya EPA yapo, Rais wetu Magufuli aanze na hawa hata wajukuu wasitumie pesa hizi

Hii dunia ukiwa mjanja ujue wapo waliokuzidi mzee walimzidi ujanja
Ndoma mana magu haamini mtu hadi ajiridhishe lakini pamoja na hayo wapo tu watakaomzidi!
 
Hii dunia ukiwa mjanja ujue wapo waliokuzidi mzee walimzidi ujanja
Ndoma mana magu haamini mtu hadi ajiridhishe lakini pamoja na hayo wapo tu watakaomzidi!
kupigwa kupo lakini huyu alizidiwa kete sana na mkewe ndio chanzo cha haya yute , mwanzoni alikuwa mr. safi lakini sasa laaula
 
Ndio ameandika makosa yake ndani ya kitabu,
Uuzwaji we nyumba za serikali.
Account ya Epa.
Mauwaji ya Wazanzibar wafuasi wa CuF ya Maalim Seif.
Uuzwaji wa mashirika ya umma.
Hii ni jinai tosha bado kufungua kampuni akiwa ikulu kujimilikisha mgodi kiwira
 
Waziri Mkubwa na Mzito aliemnyeshwa Sumu Kipenzi cha Wanyonge Jana hakupewa Mwaliko wakati alikuwa Mtu muhimu kwenye utawala wa Mzee Mkapa wa miaka yote 10 na aligombea Urais 2005 but hakufurukuta

Huyo huyo Waziri alimkosa kosa Mkwere 2003 kule Znz kwenye Nec
Tanzania kuna viwanda vya kutengeneza uongo-JK
 
Huyu naye ni mmoja ya wezi wabaya kabisa kupata kutokea.

Akiwa fair akaeleza kila kitu kuanzia mwanzo mpka mwisho kitavutia sana

Jk ana historia ya aina yake kwenye Siasa zetu na akiacha diplomasia akaweka kila kitu hewani kitakuwa gumzo sana
 
CCM NI KUNDI la WATU WAOVU SANA sasa linakaa madarakani kwa kutumia hira kudhulumu haki, kuua watu wanao wapinga, ndiyo maana hata sasa kuna pesa zinapotea potea tu.
Wanaitwa makatibu kata kote nchini wanapewa maagizo yasiyo na maana.
Ngoja watu wachoke
 
katibu wa ccm, makamu mwenyekiti, mweka hazina na wengine wamechota, majina hatutaji ila wanajulikana, sasa mnategemea nini?
 
katibu wa ccm, makamu mwenyekiti, mweka hazina na wengine wamechota, majina hatutaji ila wanajulikana, sasa mnategemea nini?
Eti kuna kakijana kanaitwa VUVUZELA kalikotemeshwa Mzigo hivi karibuni eti nakenyewe kaliwa kukwibamali ya chama , kalijimilikisha ka gari eti, nako kanajiita eti ccm kaliitoa shimoni. Hivyobasi CCM ni panya au?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom