kupigwa kupo lakini huyu alizidiwa kete sana na mkewe ndio chanzo cha haya yute , mwanzoni alikuwa mr. safi lakini sasa laaulaHii dunia ukiwa mjanja ujue wapo waliokuzidi mzee walimzidi ujanja
Ndoma mana magu haamini mtu hadi ajiridhishe lakini pamoja na hayo wapo tu watakaomzidi!
Hii ni jinai tosha bado kufungua kampuni akiwa ikulu kujimilikisha mgodi kiwiraNdio ameandika makosa yake ndani ya kitabu,
Uuzwaji we nyumba za serikali.
Account ya Epa.
Mauwaji ya Wazanzibar wafuasi wa CuF ya Maalim Seif.
Uuzwaji wa mashirika ya umma.
Tanzania kuna viwanda vya kutengeneza uongo-JKWaziri Mkubwa na Mzito aliemnyeshwa Sumu Kipenzi cha Wanyonge Jana hakupewa Mwaliko wakati alikuwa Mtu muhimu kwenye utawala wa Mzee Mkapa wa miaka yote 10 na aligombea Urais 2005 but hakufurukuta
Huyo huyo Waziri alimkosa kosa Mkwere 2003 kule Znz kwenye Nec
Akiwa fair akaeleza kila kitu kuanzia mwanzo mpka mwisho kitavutia sana
Jk ana historia ya aina yake kwenye Siasa zetu na akiacha diplomasia akaweka kila kitu hewani kitakuwa gumzo sana
Eti kuna kakijana kanaitwa VUVUZELA kalikotemeshwa Mzigo hivi karibuni eti nakenyewe kaliwa kukwibamali ya chama , kalijimilikisha ka gari eti, nako kanajiita eti ccm kaliitoa shimoni. Hivyobasi CCM ni panya au?katibu wa ccm, makamu mwenyekiti, mweka hazina na wengine wamechota, majina hatutaji ila wanajulikana, sasa mnategemea nini?
Umeandika nini, hao kwani amewaua yeye, izo ela za kitabu hujasikia zinaenda wapi?
Kama asingukuwa yeye kwanini ajute?