Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 3,992
- 6,290
Hana muda huo Mkuu. Yeye yuko buzy na Wapinzani. Ni namna gani atawamaliza au ikishindikana basi wote wawe Magerezani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anatafutiwa kafara si bureMods tafadhali musiiunge hii kwa sasa mtachanganya na pengine kui neutralize hoja yangu ya msingi kabisa. Wakuu nimeshangazwa mno na kauli ya mh jiwe, ambapo badala ya kuchukuwa hatua, yeye analalamika kama sisi wananchi. Anasema sisi si wajinga.
Kama ameliona hilo, kwanini asitusaidie sisi wananchi kwasababu Mambosasa si yeye ndiye aliyemteua? Yeye si ndiye mwenye uwezo wa kumuamirisha hayo maswali yajibiwe ili sisi wananchi ambao hatuna nguvu kama mbosasa mteule wake anayetaka kutufanya sisi wajinga tupate kujibiwa maswali yetu na tusiwe wajinga tena?
Eti anashangazwa hadi leo hakuna aliyepelekwa mahakamani na wakati wapinzani kila leo wako mahakamani ama jela! Kuna watu wamediriki kusema huu ni unafiki. Na mimi naelekea kukubaliana nao, unless rais achukuwe hatua dhidi ya Mambosasa, ambaye ni wazi atakuwa alishirikiana na Bashite. Lazima rais anafahamu, lakini badala ya kuchukuwa hatua, eti na yeye analalamika. Sasa Bashite anakuzidi nguvu gani? Ni sawa na ule usanii wa wakati ule wa yale makontena ya Bashite.
Eti "mambo kama hayo yanalipatia doa jeshi la polisi", hapo si sawa tu na kulalamika?Kwanza hiyo siyo hulka yake, hivyo nakubaliana ni usanii, labda achukuwe hatua!
Na siyo tu achukuwe hatua kwenye hili, bali na mengine mengi ambayo wananchi wana maswali na wahisi kuwa wao viongozi na serikali kwa ujumla wanatuona sisi ni wapumbavu au wajinga!
Na kesi ya Lissu mbona inaitia serikali nzia doa na hasemi?Au lengo lake ni kuvutia Mo Dewji kama alivyovyofanya kwa RA na EL coz mambo ni mbaya? Yani usanii wa kishambashamba sana kusema ukweli. Mh rais, nadhani wewe ndiye unayetuona wajinga. Labda tuone hatua zikichukuliwa na si vinginevyo.
Kaazi kweli kweli!
Lakini ni kama kuna kaukweli flani hivi. Ina maana kumbe huwa hapati briefings? Maana ameongea kama mwananchi wa kawaida na wakati ana uwezo wa kupata all the details akitaka! Alichoogelea kila mtu anakifahamu kwasababu ni taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari!Mh. Rais anapozungumza anakua anatupa feedback ya majukumu tuliyompa; hatua huwa anachukua na katika hizo hatua anazozichukua zipo ambazo mnamwita dikteta na zipo ambazo mnasema wanaochukuliwa hatua wanaonewa. ...
Mods tafadhali musiiunge hii kwa sasa mtachanganya na pengine kui neutralize hoja yangu ya msingi kabisa. Wakuu nimeshangazwa mno na kauli ya mh jiwe, ambapo badala ya kuchukuwa hatua, yeye analalamika kama sisi wananchi. Anasema sisi si wajinga.
Kama ameliona hilo, kwanini asitusaidie sisi wananchi kwasababu Mambosasa si yeye ndiye aliyemteua? Yeye si ndiye mwenye uwezo wa kumuamirisha hayo maswali yajibiwe ili sisi wananchi ambao hatuna nguvu kama mbosasa mteule wake anayetaka kutufanya sisi wajinga tupate kujibiwa maswali yetu na tusiwe wajinga tena?
Eti anashangazwa hadi leo hakuna aliyepelekwa mahakamani na wakati wapinzani kila leo wako mahakamani ama jela! Kuna watu wamediriki kusema huu ni unafiki. Na mimi naelekea kukubaliana nao, unless rais achukuwe hatua dhidi ya Mambosasa, ambaye ni wazi atakuwa alishirikiana na Bashite. Lazima rais anafahamu, lakini badala ya kuchukuwa hatua, eti na yeye analalamika. Sasa Bashite anakuzidi nguvu gani? Ni sawa na ule usanii wa wakati ule wa yale makontena ya Bashite.
Eti "mambo kama hayo yanalipatia doa jeshi la polisi", hapo si sawa tu na kulalamika?Kwanza hiyo siyo hulka yake, hivyo nakubaliana ni usanii, labda achukuwe hatua!
Na siyo tu achukuwe hatua kwenye hili, bali na mengine mengi ambayo wananchi wana maswali na wahisi kuwa wao viongozi na serikali kwa ujumla wanatuona sisi ni wapumbavu au wajinga!
Na kesi ya Lissu mbona inaitia serikali nzia doa na hasemi?Au lengo lake ni kuvutia Mo Dewji kama alivyovyofanya kwa RA na EL coz mambo ni mbaya? Yani usanii wa kishambashamba sana kusema ukweli. Mh rais, nadhani wewe ndiye unayetuona wajinga. Labda tuone hatua zikichukuliwa na si vinginevyo.
anataka kujitoa kwenye kashfa ile lakini yumoMods tafadhali musiiunge hii kwa sasa mtachanganya na pengine kui neutralize hoja yangu ya msingi kabisa. Wakuu nimeshangazwa mno na kauli ya mh jiwe, ambapo badala ya kuchukuwa hatua, yeye analalamika kama sisi wananchi. Anasema sisi si wajinga.
Kama ameliona hilo, kwanini asitusaidie sisi wananchi kwasababu Mambosasa si yeye ndiye aliyemteua? Yeye si ndiye mwenye uwezo wa kumuamirisha hayo maswali yajibiwe ili sisi wananchi ambao hatuna nguvu kama mbosasa mteule wake anayetaka kutufanya sisi wajinga tupate kujibiwa maswali yetu na tusiwe wajinga tena?
Eti anashangazwa hadi leo hakuna aliyepelekwa mahakamani na wakati wapinzani kila leo wako mahakamani ama jela! Kuna watu wamediriki kusema huu ni unafiki. Na mimi naelekea kukubaliana nao, unless rais achukuwe hatua dhidi ya Mambosasa, ambaye ni wazi atakuwa alishirikiana na Bashite. Lazima rais anafahamu, lakini badala ya kuchukuwa hatua, eti na yeye analalamika. Sasa Bashite anakuzidi nguvu gani? Ni sawa na ule usanii wa wakati ule wa yale makontena ya Bashite.
Eti "mambo kama hayo yanalipatia doa jeshi la polisi", hapo si sawa tu na kulalamika?Kwanza hiyo siyo hulka yake, hivyo nakubaliana ni usanii, labda achukuwe hatua!
Na siyo tu achukuwe hatua kwenye hili, bali na mengine mengi ambayo wananchi wana maswali na wahisi kuwa wao viongozi na serikali kwa ujumla wanatuona sisi ni wapumbavu au wajinga!
Na kesi ya Lissu mbona inaitia serikali nzia doa na hasemi?Au lengo lake ni kuvutia Mo Dewji kama alivyovyofanya kwa RA na EL coz mambo ni mbaya? Yani usanii wa kishambashamba sana kusema ukweli. Mh rais, nadhani wewe ndiye unayetuona wajinga. Labda tuone hatua zikichukuliwa na si vinginevyo.
Hilo la kujitoa hata mimi nakubali, lakini why? Kwanini? Kuna shinikizo lolote?anataka kujitoa kwenye kashfa ile lakini yumo
ccm wanatudharau sana.anataka kujitoa kwenye kashfa ile lakini yumo
Nakubaliana na wewe mkuu. Hastahili hata kidogo! Either his level of understanding is skewed, or else, he really believes that wadanganyika are grossly stupid!Janga KUBWA la Taifa huyo. Hasara TUPU! Halafu anataka kukaa miaka 10 madarakani na hata kuongeza muda wakati hastahili kuwemo Ikulu hata kwa dakika moja!
I believe so too. Ndiyo maana nawashangaa wanaosema eti Mambosasa ajiuzulu. Hiyo si ndiyo kafara yenyewe?