Kama Mdude nyagali kaletwa Dar es salaam, Chadema watume kikosi chao cha siri kumtafuta maeneo haya

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Bila shaka mdude ataletwa Dar tu kwa uzoefu wa haraka haraka

Kwa nini? ni kwa sababu ya yaliyowahi kumkuta tena mdude nyagali mwaka 2016

Baadaye alisafirishwa kutoka vwawa mkoa wa songwe kwenda dar es salaam bila kumpa huduma za kimatibabu wala chakula chini ya ulinzi mkubwa wa polisi.

Baada ya kufikishwa dar es salaam alikabidhiwa kwenye kikosi kimoja cha siri kinachoitwa kikosi kazi au TASK FOCE ambacho kazi yake kinapambana na wanasiasa wa upinzani wanaokosoa serikali ya rais magufuri

Baada ya mdude kukabidhiwa kwenye kitengo hicho alipelekwa kwenye nyumba moja ya mateso iliyopo msasani maeneo ya dar es salaam
 
Back
Top Bottom