Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,364
2,000
Habari zenu?

Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo.

badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari,

watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge mkono.

Naona kuna kila dalili kapu la serikal limefilisika
 
inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,232
2,000
sichangii hata 10 na miamala sifanyi tena labda niwe sina uwezo wa kumfikia mdeni wangu. wawatumie hao polisi wao kutulazimisha kutumia miamala maana nchi hii kila ukipinga jambo unaletewa polisi.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,878
2,000
Hakuna Sehemu inafedha kama huko Baharini maelfu ya matani ya Samaki yanavuliwa mbona fedha lukuki haionekani?
 
Mzee nazi

Member
Dec 10, 2018
91
150
Habari zenu?
Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo

badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari,

watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge mkono

Naona kuna kila dalili kapu la serikal limefilisika
Nitaunga mkono
 
Nziiri

JF-Expert Member
Jul 23, 2020
448
500
Habari zenu?

Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo.

badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari,

watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge mkono.

Naona kuna kila dalili kapu la serikal limefilisika
Huwa hulipi kodi yo yoye?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom