Kama mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kuna ubaya gani Rais Magufuli asiwe Rais wa kudumu

Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Habari wanabodi,
Kwanza naomba nianze kwa kumuombea rais wetu umri mrefu na nguvu za kuweza kuchapa kazi bila kuyumbishwa na vibaraka wa mabeberu bila kusikiliza kauli za wanaotaka kutuingiza katika taifa la ndoa za jinsia moja, bila kusikiliza maneno ya wanaodai demokrasia uchwara ya kutukana viongozi na kudhalilisha juhudi za serikali na utu wa mtanzania, bila kujali manaeno ya wapiga dili.

Mbowe amekuwa mwenyekiti wa cdm kwa muda mrefu zaidi ya miaka 15 hivi bila hata ya kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya chama,bila hata ya kutengeneza miradi ya chama,bila hata kuwa na matumizi sahihi ya ruzuku za chama,bila hata ya kuweza kudhibiti upotevu wa rasilimali watu tumeshuhudiwa wabunge na madiwani kwa ridhaa zao wenyewe wakikimbia chama na kujiunga na chama kubwa.

Kwanini Rais Magufuli ambaye kwa muda wa miaka 3 amejenga barabra karibu kila mtaa,amenunua ndege,anajenga standard gauge,anajenga barabara ya kisasa ya ubungo pamoja na fly over,amethibiti ufisadi wizi wa rasilimali, pamoja na rushwa asiwe rais wa milele.Tanzania chini ya utawala wake imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.Samahani mh Rais ulisema maika 10 inatosha lakini sisi wananchi tuliokuwa wengi bado tunakuhitaji tunakuomba ulifikirie hili ikiwezekana kuwepo na kura za maoni kuhusu hili jambo
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
9,136
2,000
Huwezi kucompare mtu anayemiliki Hazina (vote #20 and the like) na mtu mwingine yeyote

Kwenye suala la ukomo wa uongozi hii ni issue nyingine. Sio Mbowe au Jiwe au mtu mwingine yeyote mwenye haki miliki ya kukalia kiti milele pasipo na ukomo
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643
2,000
Habari wanabodi,
Kwanza naomba nianze kwa kumuombea rais wetu umri mrefu na nguvu za kuweza kuchapa kazi bila kuyumbishwa na vibaraka wa mabeberu bila kusikiliza kauli za wanaotaka kutuingiza katika taifa la ndoa za jinsia moja, bila kusikiliza maneno ya wanaodai demokrasia uchwara ya kutukana viongozi na kudhalilisha juhudi za serikali na utu wa mtanzania, bila kujali manaeno ya wapiga dili.

Mbowe amekuwa mwenyekiti wa cdm kwa muda mrefu zaidi ya miaka 15 hivi bila hata ya kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya chama,bila hata ya kutengeneza miradi ya chama,bila hata kuwa na matumizi sahihi ya ruzuku za chama,bila hata ya kuweza kudhibiti upotevu wa rasilimali watu tumeshuhudiwa wabunge na madiwani kwa ridhaa zao wenyewe wakikimbia chama na kujiunga na chama kubwa.

Kwanini Rais Magufuli ambaye kwa muda wa miaka 3 amejenga barabra karibu kila mtaa,amenunua ndege,anajenga standard gauge,anajenga barabara ya kisasa ya ubungo pamoja na fly over,amethibiti ufisadi wizi wa rasilimali, pamoja na rushwa asiwe rais wa milele.Tanzania chini ya utawala wake imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.Samahani mh Rais ulisema maika 10 inatosha lakini sisi wananchi tuliokuwa wengi bado tunakuhitaji tunakuomba ulifikirie hili ikiwezekana kuwepo na kura za maoni kuhusu hili jambo
Kwani mbowe anaamua mstakabari wa taifa na maisha ya watu kama Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom