Kama Mbowe alitenda makosa anayoshtakiwa mwaka 2020 na Magufuli akiwa Rais, kweli alishindwa kumkamata Mbowe?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Najiuliza sana JESHI la POLISI linasema Mh.MBOWE alitenda MAKOSA Anayotuhumiwa toka Mwaka 2020
Kipindi hicho RAIS wa TANZANIA alikuwa JOHN MAGUFULI
Najiuliza ina Maana MAGUFULI Alishindwa Kumkamata MBOWE?
Au MBOWE hakuwepo NCHINI?
Na kwanini Akamatwe Kwenye KONGAMANO la KATIBA MPYA wakati Muda Mwingi MBOWE alikuwa DSM na Arusha kwenye MSIBA wa Kaka yake?
VIONGOZI wetu ACHENI SIASA za CHUKI Madhara yake ni MAKUBWA kwa TAIFA
 
Jinai haina mwisho.
 
Mlichafua sana mwendazake, japo aliwatahadharisha kwamba mtamkumbuka, viongozi wenu walihamia CCM na kupewa uongozi bila kuangalia itikadi, aliangalia ufanisi wa mtu. Lakini mkaishia kumuita dikteta, sasa mnaonja joto ya jiwe.
 
Back
Top Bottom