Kama mbavu zako za kichina usifungue hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mbavu zako za kichina usifungue hapa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KIBURUDISHO, May 3, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Jamaa mmoja alikuwa......................................................................................................................................................................................................nimebanwa na mavi utamalizia mwenyewe kama hujaelewa nisubiri nitoke chooni nije kumalizia ila sijui nitatoka saa ngapi maana kinyesi ni kirefu na kinatoka taratibu kama foleni ya magari kwa babu wa loliondo
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chenga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  umri wako jamvini bado mdogo so huelewi unachokifanya. sometimes kweli huwa tunataka kuburidika thats why nimefungua thread yako. kama huna ishu ya kupost basi soma za wengine mbona zinaelimisha na pia zinaongeza ufahamu wa mambo. **** lako.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Dogo uwe na staha kidogo unapoandika,si kubonyeza tu keyboard.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh thread yako ya kichina.umekaa ukafikiria cha kuandika ukaamua uje kutuzngua..badala ya kucheka tunanuna.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hii mitoto ya siku hizi sijui ikoje.
   
 7. H

  Hardman JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  hata haicheeshi....lakini jitahidi hata mbuyu ulianza kama mchicha
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Haichekeshi
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  mitoto ya kata ina matatizo kweli kweli
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kwi..kwi..kwiiiii.....
   
 11. M

  Masiko W. M. Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe mwenyewe una akili za kichina, na kama akili ni za kichina adabu yako pia ni ya kichina.
  Pole sana kiburudisho kwa kuwa huburudishi kwa lolote.
   
 12. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pumbaf!
   
 13. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  haka kajamaa wangekapiga bann mara moja tabia za ki MS
   
 14. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ndo maana niliwatahadhalisha mapema kama mbavu zenu ni za kichina msifungue mlifungua nini sasa kama sio kihelehele
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  matokeo ya shule za kata haya..
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Wewe imekuchekesha?
   
 17. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu atakuwa Kiburudisho
   
 18. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mod: Please ban this guy, this is an unacceptable. Hatuwezi kuvumilia kusoma ujinga wa namna hii. Nimepita tu nikaona huu upuuzi. Kwang mimi naitwa ni abuse kwa hii forum.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,549
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  Tatzizo la kutolipia alafu wanataka wapewe bure dodma weka ndan ama fukuza kabisa upuzi kama huu wakaangalie ngono na kuandika upuuzi kama huu
   
 20. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huu ni upuuzi.
   
Loading...