kama mawaziri hawana instrument wanafanyaje Kazi?wanafanyaje maamuzi? je ni kwel ni mawaziri hewa?i

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Hili lina ukweli kiasi gani? Wajuzi wa haya mambo tuongezeeni uelewa kwa kuwa tumesikia hawa mawaziri hawana mamlaka yoyote,na kwamba nchi inaongozwa na rais na makamu wake kwa kuwa hata waziri Mkuu hana instrument
 
Hili swali muhimu sana kiutendaji tujue ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom