Kama makubaliano juu ya muungano hayakuridhiwa na Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, muungano wetu ni halali?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
2,185
2,000
Hili ni swali muhimu sana kwa mustakabari wa muungano wetu. Maana ni miaka 57 toka tumeungana lakini inasemekana articles of union ya awali haijawahi kuwekwa hadharani.

Mbali ya hilo inasadikiwa kuwa haikupelekwa kwenye baraza la wawakilishi ili iweze kujadiliwa na kuridhiwa kama ilivyokuwa inatakiwa. Japokuwa bunge la Tanganyika lilijadili na kuridhia makubaliano hayo tar 26/4/1964.

Kama makubaliano ya muungano hayqkuridhiwa na chombo cha uwakilishi wa wananchi huko Zanzibar muungano wetu ni halali?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom