Kama majigambo ya Rais Magufuli ni kweli kuwa miradi yote mikubwa tunaitekeleza kwa pesa "cash" ni kwanini deni la Taifa linazidi kupaa?

Zitto alipowaandikia barua "MABEBERU" si unakumbuka walilia kila kona..!!?? Kwa nini walie kama kweli wana hela..!?
 
Back
Top Bottom