Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,486
- 86,002
Tanzania kuna upuuuzi na ujinga wa hali ya juu sana ndugu yanguNi dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.