Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

kambiko

Senior Member
Jan 12, 2018
156
250
Kwanini yalioungua na leo yaongezeke wakati hakuna siku imenyesha mvua?

Tumesha wastukia nyinyi watengeneza matukio na kujifanya mnayapatia ufumbuzi.
Ndugu hakuna Maji yaliyoongezeka Ruvu.
Nimepita Ruvu Leo nikitokea Mbeya Hali siyo nzuri Kabisa.Maji ni Machache Sana.Yaani Hawa Jamaa Wanajaribu kutengeneza story Mfu wakiwa na Lengo Lakumkuza huyo Marehemu Wao.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,914
2,000
Vumilia tu hasira hazitokusaidia huenda march mwakani atafufuka.
Kwanini usivumilie wewe mama yako karibu atafufuka karibuni ila ukimwi utakuwa umemmaliza sana pole sana. Vipi ulipona hakukuambukiza kweli kunauwezekano unakusumbua sana ndiyo maana unaweweseka sana hadi sasa.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,191
2,000
Ndugu hakuna Maji yaliyoongezeka Ruvu.
Nimepita Ruvu Leo nikitokea Mbeya Hali siyo nzuri Kabisa.Maji ni Machache Sana.Yaani Hawa Jamaa Wanajaribu kutengeneza story Mfu wakiwa na Lengo Lakumkuza huyo Marehemu Wao.
Tumesha wazoea sana hao wadanganyaji
 
Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,315
2,000
Kwanini usivumilie wewe mama yako karibu atafufuka karibuni ila ukimwi utakuwa umemmaliza sana pole sana. Vipi ulipona hakukuambukiza kweli kunauwezekano unakusumbua sana ndiyo maana unaweweseka sana hadi sasa.
Unateseka sana na utaendelea kuteseka maana ile mbuzi hairudi tena.
 
MrConveter

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
494
1,000
Kuna kitu hakipo sawa hapo,
Kwamba mashine inavuta lita Milioni moja kwa saa au mashine ina uwezo wa kuvuta lita Milioni moja kwa saa?

Maana lita hizo tajwa za maji ni nyingi mno kwa ajili ya kumwagilia tu.

Hii taarifa ya Serikali ni kupika.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,820
2,000
Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..

Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Huyo aweso na mcherengwa ndio mawaziri wa hovyohovyo hawana sifa za kua mawaziri,unasema pump ya diesel ile tumeona inavutwa lita 1myani ni vituko...yani pump hp haizidi 10 ivute lita hizo,ccm woyee
 
Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
3,690
2,000
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Hahahahahaaaaaaa hahaaaaaa mbavu sina

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
5,334
2,000
Kutumia maji ya mto kwa shughuli za kiuchumi kama kumwagilia mashamba au kufuga samaki siyo kuhujumu.

Infact serikali yenyewe ina encourage watu kulima kilimo cha umwagiliaje.

Na hii mito yote iko chini ya mamlaka za mabonde ambao ndo wana ratibu matumizi ya maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali.

Kitendo cha kuwafungia maji kwa nguvu na kuwakamata watu wanao fanya shughuli zao halali ni ukiukwaji wa haki zao. Jambo hili lilitakiwa kuwa la mazungumzo badala ya nguvu
Hiccho kibali cha kulima sinwalimpa wenyewe!
Watuyolee Sengerema sisi!
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Rais ni hatari kufanya operation ya kuondoa wamachinga barabarani (uamuzi sahihi) na wakati huo huo kuzuia raia haohao essentially wasitumie maji ya mito inayopita kwao kulima mbogamboga, umwagiliaji mdogo mdogo, ufugaji samaki, nk nk. Hapa kuna real danger ya kuleta maafa, njaa, magonjwa na vita haswa ambayo hakuna atakayeiweza. Ni vema muwaache raia watumie mito kwa uangalifu. Viongozi msitake kuleta mtafaruku maisha ya tozo yanatosha kuwa fimbo kwa viumbe hawa. Huku mtaani utawala umeshafitinika mno mambo si shwari kabisaaa. Maneno ni mengi saidieni mama. Mabango ya sura ya rais kila kona yanageuka kejeki mjue. Acheni watu watumie maji ya mito ni haki yao nyie endeleeni kula vya makopo ya supermarket toka Kenya na Ulaya msiwachokoze!
Hii sio zamu ya wanyonge.
 
Bikini

JF-Expert Member
Oct 16, 2018
361
500
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Na ndo ukweli wenyewe!!
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,885
2,000
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.

Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.

My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.

Hao ni wahujumu uchumi,ukiachana na hao wanaomwagilia ila wale wanaozuia makusudi ili kutokee upungufu hao ni kupeel their caps tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom