Kama Mahmoud Jibril ni Mlibya, tutarajie mapnduzi yake muda mfupi ujao toka western | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Mahmoud Jibril ni Mlibya, tutarajie mapnduzi yake muda mfupi ujao toka western

Discussion in 'International Forum' started by chamajani, Aug 24, 2011.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa namna Mahmoud Jibril alivyoshirikiana kwa kiasi kikubwa na Jumuiya ya Kimataifa ikiwa pamoja na Marekani, Uingereza, France na nyinginezo, ni wazi kwamba hataweza kuwatumikia walibya kwa interest za walibya badala yake atawatumikia zaidi Jumuiya hizo za Ulaya. Na hili litawezekana tu ikiwa hana uzalendo na Walibya la ikiwa ana uzalendo wa kweli na walibya ina maana atumie resources za Libya kwa ajili ya walibya kitu ambacho mabwana wakubwa hawatakubali na hivyo kum-assassinate tu-kwa kifupi ni kuwa Jibril hatoweza kutumikia mabwana wawili, so let wait and see the end of this saga.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwani akitumikia masilahi ya Marekani, Uingereza, France nk, wewe inakuuma nini? Kwani Rais wako anatumikia masilahi ya nani??
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni common sense kumtumikia aliyekuweka madarakani
  Ila lazima ujue namna ya kubalance!
   
 4. c

  chamajani JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anatumikia Ile Jet yake
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  yeye ni mwenyekiti wa NTC tu.nchi ikashatulia wanaitisha uchaguzi na yeye hatagombea.wamesema wataitisha uchaguzi ndani ya miezi 8 tu.yeye kwa sasa hivi anaongoza rebels na baada ya hapo wataaunda baraza lingine la mpito.yeye atabaki kama hero wa kupanga mikakati ya kuondoa serikali ya gadaffi.mia
   
Loading...