Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

Hilo jina mbona kama la Kibosho hivi.
Awamu hii mtajuta mlizoea utapeli na upendeleo Kwa wachaga wenzenu.
Lazime unyooke tu.
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.

Tofa
 
Sasa hapo JPM amekuathiri vp?
 
Hadi huruma hapo kwa maelezo yako utakuwa na elimu ya certificate na kwa mkopo huo utakuwa unabakiwa na laki moja na nusu au mbili kamili kwa mwezi kama mshahara....duh hadi huruma njoo huku kijiji cha zinga tulime ufuta mkuu utatoboa achana na kuajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sisi watu wa jamiiforum tutajuaje au tutaamini vipi kuwa umeacha kazi baada ya jamaa kushinda kwa kishindo ?bt nimescreenshort haya maneno yako
 
Vyuma vimelegea kama nyama ya konokono yaani. Lakini hii ni kwa wateule tu. Hata ukalime magu atakufuata huko huko. Yupo kwa ajili ya kuwadidimiza.
 
Utaufufua uzi tar 1/Nov/ 2019.
Sio case sana kwani hata sasa nafanya biashara ndogondogo
Sasa sisi watu wa jamiiforum tutajuaje au tutaamini vipi kuwa umeacha kazi baada ya jamaa kushinda kwa kishindo ?bt nimescreenshort haya maneno yako
 
Vyuma vimelegea kama nyama ya konokono yaani. Lakini hii ni kwa wateule tu. Hata ukalime magu atakufuata huko huko. Yupo kwa ajili ya kuwadidimiza.
Nikipanda miti nitaivuna akiondoka madarakani. Huku taratibu nikilima bustsni ya mbogamboga.
Au atakuja kuiamuru miti isikue?
 
Zinga kuna ma brother wangu 2 wanalima wakitokea nearby district. Ila hawajatoboa bado wanaishia kupata million 2,3,5.
Ngoja mimi nikalime bustani Njombe huku miti yangu ya boriti ikikua. Tayari nina heka 2 Lupembe.
Hadi huruma hapo kwa maelezo yako utakuwa na elimu ya certificate na kwa mkopo huo utakuwa unabakiwa na laki moja na nusu au mbili kamili kwa mwezi kama mshahara....duh hadi huruma njoo huku kijiji cha zinga tulime ufuta mkuu utatoboa achana na kuajiriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Secta ya Bandari sina tena hofu na nyie maana mpo vizuri sana hongereni. Secta ya Afya inazidi kuboreka sana, hakuna tena kupeleka wagonjwa hindia. Hi yote ni kumpongeza sana raisi wetu mpendwa Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa kujenga nchi kwenye secta mbalimbali ili kukuza uchimi wa nchi.
IMG-20191226-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ni shida ya kusikiliza motivation spekers halafu unaenda kwenye field moja kwa moja,
Apige mahesabu vizur
Ununue eneo, ulilime kwa vibarua, ununue mbegu, mbolea na viriba vya kuwatika miti, upige mashimo upande, uweke fire break, upige dawa ya mchwa, uendelee kulihudumia kwa ulizi wanyama wasiharibu na moto,
Unakuta gharama ni zaidi ya milioni nne
At the same time u asomesha na michango ya jamii utoe.
Nakusihi kopa hizo hela ila kazi usiache, kopa panda miti ya mbao ila kazi usiache angalau watoto waendelee kupata msosi kirahic
Ukitishia kuacha kazi nyumba yako kuna zaidi ya wahitimu 10,000 wa chuo kikuu wanasubiri hiyo nafasi moja. TZS 4,000,000 itawezaje kuhudumia shamba la miti pamoja na wewe kwa miaka 15?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinga kuna ma brother wangu 2 wanalima wakitokea nearby district. Ila hawajatoboa bado wanaishia kupata million 2,3,5.
Ngoja mimi nikalime bustani Njombe huku miti yangu ya boriti ikikua. Tayari nina heka 2 Lupembe.
Inategemeana analima heka ngapi na usimamizi pia...mm huu mwaka wangu wa tatu nalima huku sijawahi kosa 10M kwa msimu hicho ni kima cha chini ambapo nilitumia garama 3M nikapata faida 7M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom