Kama Magufuli alitaka Jecha apewe Tuzo, nani amemwandaa Kupewa Tuzo 2020?

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
Kutokana na Ukweli ambao Kila Mmoja anajua, Kwamba Uchaguzi wa Zanzibar Matokeo yalifutwa (sio uchaguzi kufutwa) Kisha CCM kwa Kumtumia Jecha wakajitahidi sana Kuwalazimisha CUF washiriki "Uchaguzi" wa Marudio ili wapate uhalali. Wakalazimisha hata Kuweka Majina ya Wagomea wa CUF kwenye Balot papers. Anyway, Iliposhindikana wakaingia uchaguzi na Vyama vikaragosi, ati wakapata Ushindi wa 90% sawa na Kujitekenya mwenyewe na kucheka!

Cha kushangaza, Ni Mtu asemaye Ni msema kweli na Ni Mpenzi wa Mungu, Kwa kebehi ya Kutisha anaagiuza Jecha stooge aliyevuruga Demokrasia Zanzibar apewe tuzo? Je Nani mwenye akili Timamu anadhani Mh. Magufuli atajali hata Kidogo Kuagiza Uchaguzi wa 2020 Uvurugwe Kila Ngazi na Kuwapa Tuzo waliouvuruga?

Wapinzani Iwapo watajiingiza Kwenye Uchaguzi wa 2020 Kama hali ilivyo watakuwa wamemhalalishia Magufuli Matokeo atakayoyapata yeye na Chama chake. Pia Wakisusa Kushiriki Uchaguzi, CCM watatumia vyama Vikaragosi Kugombea nao na Kisha kuwapa Majimbo Matano Matano Waliovuruga wanapewa Tuzo Mchezo Unaisha.

Mimi Nafikiri Kuna Madictator Wanaofanya Watakavyo Barani Afrika Kwa sababu Tunakuwa na Upole wa Ujinga na Tunajipenda sana na Kujawa hofu, Na Pale Tunapokasirishwa na Kupambana tunapambana na watu wrong, raia wenzetu, Polisi, Wanajeshi etc. Lakini Kama Afrika Wakiwahakikishia Madictator wasipoacha Udictator hawapo salama, Madictator Watajirekebisha na Kufuata sheria na Katiba, au Wakikomaza shingo Waishe wote!

Ni kweli Kama alivyokuwa Qadaffi, Ni Vizuri Kuleta Madawati, Ni Vizuri Kupambana na Rushwa, Ni Vizuri Kujali huduma za Afya Ni Vizuri Kuboresha Elimu na Maisha ya Waalimu. Na Asante yetu Ni mishahara tuwapayo, na Tutawaenzi, Lakini Rais Yeyote anayedhani Kwa Kuzingatia kufanya hayo ati Tumlipe kwa Currency ya UHURU wetu, AMANI yetu, SAUTI zetu, KATIBA yetu? Huyo Anawazimu, Hatufai na Ni adui, Ni sawa na Mtu anayekununulia Chupa ya Bia na Jioni anataka Umrusu aje Kwa Mkeo! Tukimkubalia Basi Tuwaombe kwaza Radhi, Wajerumani, Waingereza, Wareno, Wabelgiji, Wafaransa na Wakoloni wengine Tuliopigana nao Afrika sio kwa Kutaka Asprin, Au Dawati au Barabara Bali UHURU!
 
Umeshawahi kujiuliza kirefu cha SMZ? Ngoja nikujuze! SMZ ni kifupisho cha Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar! Wa Zanzibar wote wamekubaliana iitwe hivyo! Halafu Rais wa Zanzibar pia hutambulika kama Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi! Sasa Jiulize unawajua Wajumbe wa hilo baraza la Mapinduzi?
Hata chama chenyewe kina Jina Mapinduzi!
Mmeshaambiwa Mfuge ndevu, mnyoe Nywele hamtopewa Nchi, Nchi ya Kimapinduzi haitolewi kwa Makaratasi sasa Mlitaka iweje ili muelewe somo?
Neno Mapinduzi halipo kwny Chama wala Serikali kibahati bahati lina maana yake tena kweli kweli!
 
Umeshawahi kujiuliza kirefu cha SMZ? Ngoja nikujuze! SMZ ni kifupisho cha Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar! Wa Zanzibar wote wamekubaliana iitwe hivyo! Halafu Rais wa Zanzibar pia hutambulika kama Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi! Sasa Jiulize unawajua Wajumbe wa hilo baraza la Mapinduzi?
Inaitwa Hivyo Kwa Kuwa John Okello aliipindua Serikali ya Zanzibar akampatia Jumbe aliyekuwa Mgombea miezi Michache akashinda lakini akapokonywa ushindi Kama ilivyokuwa 2015. Na wajumbe wa baraza la Mapinzuzi ni Wabunge wa Zanzibar. Hoja yako ni ipi hasa labda nikuelewe! Corerection meant to say Abeid Karume
 
Inaitwa Hivyo Kwa Kuwa John Okello aliipindua Serikali ya Zanzibar akampatia Jumbe aliyekuwa Mgombea miezi Michache akashinda lakini akapokonywa ushindi Kama ilivyokuwa 2015. Na wajumbe wa baraza la Mapinzuzi ni Wabunge wa Zanzibar. Hoja yako ni ipi hasa labda nikuelewe!

Hoja ni kuwa Acha Uongo!
Kupindua Serikal sio Kama kupindua Bakuli au Kikombe kuwa Mtu mmoja peke yake anaweza hivyo tafuta Watoto wenzako uwadanganye!

Jumbe kawa Rais 1972 baada ya kuuawa Karume lakin Mapinduzi yamefanyika 1964
Karume na Jumbe walikuwa ma Rais wa Zanzibar kwa Nyakati tofauti lakin hawajawahi kuwa Wagombea Kama unavyojaribu kutudanganya!
 
Hoja ni kuwa Acha Uongo!
Kupindua Serikal sio Kama kupindua Bakuli au Kikombe kuwa Mtu mmoja peke yake anaweza hivyo tafuta Watoto wenzako uwadanganye!

Jumbe kawa Rais 1972 baada ya kuuawa Karume lakin Mapinduzi yamefanyika 1964
Ni kweli Nilisema Jumbe Kimakosa Nilimaanisha Abeid Karume, Nilivyosema John Okello Nilimaanisha alikuwa Ndiye Kiongozi, Mimi Hunilipi Nikuleshe kwa Kijiko! au Unabisha Kuwa Okello aliongoza Mapinduzi na Karume na akina Babu wakiwa Dar es salaam kama Mtoto aliyejificha kwa Sketi ya mama yake lakini Leo Ndio Wanamapinduzi na Okello hata Jina Lake halisemwi? By the way Ole Sendeka anakulipa Bei Gani?
 
Inaitwa Hivyo Kwa Kuwa John Okello Na wajumbe wa baraza la Mapinzuzi ni Wabunge wa Zanzibar. Abeid Karume

Ndugu
Yote uliyoandika hapo ni ubunifu wako tu. Huwa mnapata wapi ujasiri wa kubuni haya mambo?
Wajumbe wa baraza la mapinduzi sio wabunge wa Zanzibar.

Kwa faida tu Baraza la Mapinduzi linajumuisha
1.Rais wa Zanzibar, ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo

2.Makamu wa Rais wa kwanza na wa pili

3.Na wajumbe wengine ambao huchaguliwa/huteuliwa kwa utashi wa rais wa Zanzibar
 
Ndugu
Yote uliyoandika hapo ni ubunifu wako tu. Jumbe hakuwa Rais kwa mapinduzi, alishika madaraka baada ya kifo cha Abeid Amani Karume.
Miaka hiyo Okello hata hakuwepo Zanzibar tena.
Wajumbe wa baraza la mapinduzi sio wabunge wa Zanzibar.
Sidhani kama unaijua chochote kuhusu SMZ!
Tuchukue muda kusoma na sio kuja na hadithi za kufikirika.
Soma Tena Mpaka Mwisho, Najua siasa za Africa na Dunia Kuliko wewe that I know for sure! Na Naijua Historia ya Politics za Africa Vizuri sana, Hapo Mwisho Nimesema Nilimaanisha Kusema, Abeid Karume na Sio Aboud Jumbe aliyekufa Juzi, Au Unataka Nikuambie Yule Abeid Karume aliyeuawa na Luteni Hamoud Mohamed Hamoud, Ndio Ujue Namjua? Unaweza Kuniandikia Taarifa Fupi ya Ujerumani Kabla na Baada ya Hitler? Unaweza Kunipa Simulizi za Mapinduzi ya Castro kwa Batista na Vita vya Siera Maestra? Unajua Chohote Kuhusu French Revolution au Lenin, Unazijua harakati za Vita vya Mateso ya Mao? Unajua Mapinduzi ya Upper Volta Kuwa Burkina Faso na hatima ya Thomas Sankara? Je Unamjua Che Guevara Mchango wake na Kifo chake? Meshasoma angalau Wanaphilosopher angalau wawili kati ya 9 maarufu wa all times. Unajua Nini Kuhusu great Zimbabwe, Mali na Timbaktu, Misri na Utawala wa kale, Urumi na Mythology zao, Himaya za Kale za Uchina, Wamaya Na wahindi wekundu? Mimi Nasoma Siasa napumua Siasa, Ukiniuliza Majina ya Wacheza Mpira siyajui Lakini Siasa yote ya Dunia ya Kale, 1900s na Millenia ya sasa Iko in my finger tips! Au Unataka Nikutajie Viongozi wa Mataifa zaidi ya 20 kwa haraka haraka au Masenator au wabunge wa Muhimu wa Tanzania kama 100 haraka haraka Ndio Uache kurukaruka? When it come to politics! Don't do it you will hurt yourself!
 
Soma Tena Mpaka Mwisho, Najua siasa za Africa na Dunia Kuliko wewe that I know for sure! Na Naijua Historia ya Pilitics za Africa Vizuri sana, Hapo Mwisho Nimesema Nilimaanisha Kusema, Abeid Karume na Sio Aboud Jumbe aliyekufa Juzi, Au Unataka Nikuambie Yule Abeid Karume aliyeuawa na Luteni Hamoud Mohamed Hamoud, Ndio Ujue Namjua? Unaweza Kuniandikia Taarifa Fupi ya Ujerumani Kabla na Baada ya Hitler? Unaweza Kunipa Simulizi za Mapinduzi ya Castro kwa Batista na Vita vya Siera Maestra? Unajua Chohote Kuhusu French Revolution au Lenin, Unazijua harakati za Vita vya Mateso ya Mao? Unajua Mapinduzi ya Upper Volta Kuwa Burkina Faso na hatima ya Thomas Sankara? Je Unamjua Che Guevara Mchango wake na Kifo chake? Meshasoma angalau Wanaphilosopher angalau wawili kati ya 9 maarufu wa all times. Je Unajua Msemo wa Nyerere, "Nikigeuka nyuma Nitakuwa Jiwe" Ulianzishwa na nani? Unajua Kenyatta alifungwa kwa kesi gani na alikaa jela Miaka Mingapi?, Je Unamjua Agusto Pinochet na Mapinduzi ya Chile na yalivyokuwa? Unajua Kilichotokea Romania 1984? Unamjua Bokasa na escaped yake ya Kujitawaza Ufalme? Unajua Nini Kuhusu great Zimbabwe, Mali na Timbaktu, Misri na Utawala wa kale, Urumi na Mythology zao, Himaya za Kale za Uchina, Wamaya Na wahindi wekundu? Mimi Nasoma Siasa napumua Siasa, Ukiniuliza Majina ya Wacheza Mpira siyajui Lakini Siasa yote ya Dunia ya Kale, 1900s na Millenia ya sasa Iko in my finger tips! Au Unataka Nikutajie Viongozi wa Mataifa zaidi ya 20 kwa haraka haraka au Masenator au wabunge wa Muhimu wa Tanzania kama 100 haraka haraka Ndio Ujue Usinirukia when it come to politics! Don't do it you will hurt yourself!
 
Soma Tena Mpaka Mwisho, Najua siasa za Africa na Dunia Kuliko wewe that I know for sure! Na Naijua Historia ya Pilitics za Africa Vizuri sana, Hapo Mwisho Nimesema Nilimaanisha Kusema, Abeid Karume na Sio Aboud Jumbe aliyekufa Juzi, Au Unataka Nikuambie Yule Abeid Karume aliyeuawa na Luteni Hamoud Mohamed Hamoud, Ndio Ujue Namjua? Unaweza Kuniandikia Taarifa Fupi ya Ujerumani Kabla na Baada ya Hitler? Unaweza Kunipa Simulizi za Mapinduzi ya Castro kwa Batista na Vita vya Siera Maestra? Unajua Chohote Kuhusu French Revolution au Lenin, Unazijua harakati za Vita vya Mateso ya Mao? Unajua Mapinduzi ya Upper Volta Kuwa Burkina Faso na hatima ya Thomas Sankara? Je Unamjua Che Guevara Mchango wake na Kifo chake? Meshasoma angalau Wanaphilosopher angalau wawili kati ya 9 maarufu all time. Unajua Nini Kuhusu great Zimbabwe, Mali na Timbaktu, Misri na Utawala wa kale, Urumi na Mythology zao, Himaya za Kale za Uchina, Wamaya Na wahindi wekundu? Mimi Nasoma Siasa napumua Siasa, Ukiniuliza Majina ya Wacheza Mpira siyajui Lakini Siasa yote ya Dunia ya Kale, 1900s na Millenia ya sasa Iko in my finger tips! Au Unataka Nikutajie Viongozi wa Mataifa zaidi ya 20 kwa haraka haraka au Masenator au wabunge wa Muhimu wa Tanzania kama 100 haraka haraka Ndio Ujue Usinirukia when it come to politics! Don't do it you will hurt yourself!

Kwa hiyo bado unaamini kuwa Baraza la mapinduzi linaundwa na wabunge wa Zanzibar?!
Haya unajua kila kitu.

Na kwa kiingereza hiki '' Don't do it you will hurt yourself..''
Wewe unajua sana sana.
 
Ndugu
Yote uliyoandika hapo ni ubunifu wako tu. Huwa mnapata wapi ujasiri wa kubuni haya mambo?
Wajumbe wa baraza la mapinduzi sio wabunge wa Zanzibar.

Kwa faida tu Baraza la Mapinduzi linajumuisha
1.Rais wa Zanzibar, ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo

2.Makamu wa Rais wa kwanza na wa pili

3.Na wajumbe wengine ambao huchaguliwa/huteuliwa kwa utashi wa rais wa Zanzibar
hizo mambo ya Mapinduzi zishapitwa na wakati, sema njaa ndo inawasumbua watawala, hawana jinsi ya kusurvive bila madaraka. Mapinduzi gani uchwara
 
Ndugu
Yote uliyoandika hapo ni ubunifu wako tu. Huwa mnapata wapi ujasiri wa kubuni haya mambo?
Wajumbe wa baraza la mapinduzi sio wabunge wa Zanzibar.

Kwa faida tu Baraza la Mapinduzi linajumuisha
1.Rais wa Zanzibar, ambaye ni mwenyekiti wa baraza hilo

2.Makamu wa Rais wa kwanza na wa pili

3.Na wajumbe wengine ambao huchaguliwa/huteuliwa kwa utashi wa rais wa Zanzibar
Whatever, I am not interested in that, Swala Langu Ni? Kama Magufuli anataka Jecha apewe Tuzo, Amemwandaa nani wa Kupewa Tuzo baada ya Kuvuruga Uchaguzi wa 2020. Au Kama Kigezo cha tuzo sio Hicho Maropoko ya Jecha apewe tuzo yalibase wapi hasa?
 
Umeshawahi kujiuliza kirefu cha SMZ? Ngoja nikujuze! SMZ ni kifupisho cha Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar! Wa Zanzibar wote wamekubaliana iitwe hivyo! Halafu Rais wa Zanzibar pia hutambulika kama Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi! Sasa Jiulize unawajua Wajumbe wa hilo baraza la Mapinduzi?
Hata chama chenyewe kina Jina Mapinduzi!
Mmeshaambiwa Mfuge ndevu, mnyoe Nywele hamtopewa Nchi, Nchi ya Kimapinduzi haitolewi kwa Makaratasi sasa Mlitaka iweje ili muelewe somo?
Neno Mapinduzi halipo kwny Chama wala Serikali kibahati bahati lina maana yake tena kweli kweli!
This begs the question why Zanzibaris should or should not practice violence as a means to Uhuru-to freedom? Saint Mandela too practised violence.
 
Back
Top Bottom