Kama Madaktari wangeongezewa marupurupu yao ingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Madaktari wangeongezewa marupurupu yao ingekuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avanti, Jul 8, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ingekuwa kimya kabisa na wala madai wanayodai kuhusu vifaa vya kutendea kazi yasingekuwepo. Mfano Serikali ingeamua kuwalipa 3.5 mls basi nadhani ingekuwa imewamaliza kabisa na wasingethubutu kuingia mgomo. Wangesahau madai mengine yote, hii ni kwa sababu binadamu kiasili tumeumbwa wabinafsi, tusiojali wenzetu. Yule dokta nilisikia anasema nchi haina hata Tscan, hilo hata kama ni kweli naamini ni uzushi tu; hiyo wanataka kupata huruma yetu tu, sisi tunataka utaalum wao, maneno yao ya kitabibu na wala sio vifaa wanavyovisema. Mbona kutibiwa bila vifaa inawezekana kwa sana tu. Waache kutubabaisha issue ni maslahi na wala sio vifaa.

  Nakusanya maoni ili kuisihi Serikali iwatoe madaktari wote wanaong'ang'ania mgomo, na ikibid ituruhusu tuwapige.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Waambie madaktari wapunguze kulewaaaaaa, duuuuuh

  Ndio maana salary wanalalamikaaaa


  @PJN at Mtwara Gas City
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red halmashauri yako ya ubongo iko vizuri kweli?Utakuwa una matatizo makubwa sana katika kufikiri.
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Sasa madaktari watakutibia kivipi bila vifaa? Watajuaje ugonjwa wako ili wautibie? Kazi kwelikweli!
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  T scan ndo kitu gani?
   
 6. m

  mbwembwekali Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili RIJINGA kweli kweli! wambie dereva akufikishe uendako bila matairi ya gari basi!
   
 7. m

  mbwembwekali Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu, ni stress za kimaisha na kikazi zinazowafanya wanywe! wanaona vifo kila siku makazini kwao ambavyo havina sababu, wakitoka kazini hela haitoshi, bora wajilewee tuu wazisahau hizi shida za hapa TANZANIA yetu hii yenye watu wenye akili fupi kama zako wewe!
   
 8. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Inawezekan mkuu, mbona ukimweleza tu dktari tatizo lako huwa anakuandikia dawa. Sio kil wakati wanatumia vifaa km wanavyolalama eti xray angalu iwepo kila wilaya. Vifaa wanavyodai havipo haviwezi kuwashindisha kutoa matibabu.
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unaonekana mwelewa wa mambo,kweli hili linakushinda?
   
 10. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liwe na liwalo.
   
 11. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nineshapata diagnosis ya hii psychosis!:israel:
   
 12. rwamashugi

  rwamashugi Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakianza mgomo kama wa Walimu, itabidi tupanuwe Mortuary.
   
 13. C

  Chibenambebe Senior Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 14. a

  adolay JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Tunasafari ndefu.

  Kama utamweleza dakitari tumbo linakusumbua ukaapewa dawa lakin unasiku ya tatu ndo kwanza linazid, vifaa vya uchunguzi hakuna inakuwaje hapo mkuu?
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hata kama wangeendelea na kazi hivyohivyo, bado watu wangekufa kwa kukosa huduma ya uhakika na kusababisha vilema ama vifo ambavyo vingeweza kuhepukika. Hata kama kunaukweli wa madai ya posho, hata hilo la vifaa si la kulipuuzia. Ukiangalia kwa makini tunaoumia zaidi ni sisi wananchi tunaoshabikia kuwa madai ya madaktari ni ya kipuuzi. Kama utaugua leo, hutahitaji hayo maslahi ya madaktari, bali utahitaji huduma bora itakayokuponya na kukuokoa maisha yako.
   
 16. Kanolo

  Kanolo Member

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwenye hiyo rangi nyekundu inaonesha jinsi gani unafikilia kwa kutumia masaburi
   
 17. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hawa madaktari wanasema vifaa hawna. lakini sio kwao tu hakuna vifaa. mbona waalimu wanafundisha kwa vifaa duni? huku mwanafunzi amekaa chini? Mimi nilisoma darasa la kwanza mwananyamala b. 1979 nilikaa chini. sasa kila mtu akidai hawezi kufanya kazi mpaka apate vifaa (vya kisasa nafkiri ndo hawa madactari wanavita) itakuwaje sections zingine?
  1. polisi watasema hawawezi kufanya kazi mpaka wapewe bulet proof vest, komputer ndani ya patrol cars , na finger print scan kwenye magari na mshahara wa 3.5mil kila polisi akopeshe gari.
  2. Mwalimu atadai awe na big lcd monitor badala ya ule ubao mweusi, uwe connect fulltime na internet kwaajili ya kufundishia, kila mwanafunzi awe na ipad3 ili aweze kujisomea na mshahara wa 3.5mil kila mwalimu akopeshe gari
  3.tanesko watadai biashara ya nguzo ife utengenezwe umeme wa wireless, na wapatiwe vifaa vya kisasa ili kufanya kazi zao visuri
  4. wale wa fire ( mtajaza )( je mnavifaa au na njie mpo kwenye mgomo? kazi zenu ni ngumu kuliko hata za madoctors.
  5. ttcl du zamani ili upate hii huduma lazima ukanunue nguzo na mazabazaba kibao thanks siku izi unasimu ya tsh 20,000/- wala huitaji kununua nguzo wala nini you are on air.

  Tulihamia Maeneo ya muhimbili late 1979. hao ma profesa karibia wote nawajua toka wapo vijana wanaa huku "kitalu" enzi hizo hawana A wala B ila leo hii wana mahospitali yao ya private na wamekwapua vifaa hapo hapo muhimbili. Huyu waziri wetu wa afya alikuwa pale kipindi hicho ni denti, analijua hilo! ofcos yeye hakuwa mkwapuaji maana wao kwao walikuwa mbambo fresh!!!!!!!ilikuwa miaka ya 90' baba alikuwa head of state.

  madactari ushauri wangu ni : watajeni wale wote wenye kukwapua mali ( vifaa vilivyokuwepo wakaweka vibovu ) na si kuipigia kelele serikali. imagine serikali inaweka flat screen monitor mwenzako anasema oh shit hii haifai kukaa hapa analeta cathod ray. yaani ile yenye mgongo(old fashen tena mbovu)
  msipo wataja hapa mimi nitawataja mmoja mmoja
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,171
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  alafu dereva akishinikiza tajiri aweke matairi abiria anakataa.
   
 19. d

  da flux Member

  #19
  Jul 8, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sijawahi ona zuzu km ww yaani huoni umuhimu wa vifaa tiba!!?eti iwatoe wote.hivi unajua ku train Dr mmoja inachukua muda gani? au unahis ubunge huo kwamba akifa leo kesho mnafanya uchaguzi..
   
 20. k

  kija peter Member

  #20
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wasomi bado tunawaza hivi basi watanzania tubaki watazamaji na. Tuwaache wanasiasa watibu, 2me practising without equipment! That's bush medicine. Doctors knows kuna vitu hatuwezi kufanya na kuna basic ambazo ni kufulu kutokua navyo. Thoughts become things.
   
Loading...