Kama Lowassa alitumia pesa zake kwenye kinyang'anyiro cha Urais mbona hafilisiki?

Waliofilisika ni waliomchangia/Kaulize wafanyabiashara wa Arusha na kILIMANJARO NA MANYARA waliozagaa Tanzania nzima hali zao waliochangia mamilioni zilivyo hoi.Wengi hawana hamu na siasa na wameapa hawaji piga kura milele.Nenda tu kawatembelee uwaulize.Wengine walikopa kwa ahadi watalipwa mzee akishinda.Mikopo hailipiki wengine wanauza biashara na mali zao.Usimwangalie yeye kaangalie hali za waliomchangia.
Hakuwalazimisha...walitoa on their own free will... na walijua kuna kupata na kukosa ...hakuna dhambi yoyote hapo
 
uvccm povu la nini tuambieni maisha magumu ndio ahadi yenuuuuu kumbe hampendi watz tule maisha mnapenda tuteseke
 
Shukrani EL kuruhusu Uhuru wa Mawazo ya watu sio magazeti sio mitandao utasikia wanakusema watakavyo na hata viongozi we nachopenda huangaiki na hisia za watu ambazo sio data unaacha wanajiongelea wakichoka wananyamaza
 
Wewe wasema. Watu walikuwa wanadanganywa kwa video feki na picha za fotoshopu ili wachangie zaidi na zaidi.
 
Mkuu Lowasa ni mchoyo Na mbinafsi. Hutumia raslimali za wenzake kujinufaisha binafsi za kwake hagusi. Anahisa kwenye makampuni makubwa ya kinyonyaji na akina rostam Aziz Na Karamagi kama vile TICS, Vodacom, Dowans, SAS, Ranch za Mifugo, Real Estates Na Madini.

Nitajiri mchoyo Na mbinafsi.
Hapo Red, Naona Walivyoona Serikali Inalazimisha Makampuni Ya Simu Kuwa DSE Wakamtuma Hussein Bashe, Katetea Balaa, Sema Hakufanikiwa
 
Nimewaza kwa sauti; kama ni kweli Lowassa pesa zote zile alizozitumia kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi na badae kuhamia CHADEMA zingekuwa zake kwanini hajafirisika wala japo kuyumba kiuchumi?
Njia ya kutofilisika ni kutumia wakati unatafuta.
 
Wewe wasema. Watu walikuwa wanadanganywa kwa video feki na picha za fotoshopu ili wachangie zaidi na zaidi.
Hata waliokuwa wanahudhuria hapohapo kwenye mikutano nao walikuwa wanabandikwa macho ya mbao ili waone watu ni wengi?Hebu hariri habari yako.
 
Mzee kayumba sana. Ukitaka kujua angalia misaada anayotoa siku hizi mkanisani na misikitini.

Tunaosali naye tunajua amebaki kutoa sadaka tu kama waumini wenzake.
Nimewaza kwa sauti; kama ni kweli Lowassa pesa zote zile alizozitumia kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi na badae kuhamia CHADEMA zingekuwa zake kwanini hajafirisika wala japo kuyumba kiuchumi?
 
ongezeni bidii ya kumtukana na kumzulia ili mpewe vyeo vya kijinga,eti ukifanikiwa kumtukana lowassa unapata cheo!nchi ya kipumbavu,hebu angalia waliokuwa wanamtukana eti ndiyo mawaziri wengine wakuu wa mikoa,yaani serkali hii ni mkusanyiko wa wahuni wasio na staha wala hekima za kiuongozi kuanzia Juu mpaka chini
wengine walimwambia atakufa wakaishia kupiga miayo makaburini.
ama kweli ccm hawana tofauti na paka au panya
 
Ukiishi bila mipango utaishia kushikwa matako wewe,hivi kunaharambee ambayo mh lowassa amewahi kukaribishwa akaacha kwenda? taja moja tu kwa kuulizana hapo Lumumba,pimbi nyie
 
Muacheni EL apumzike na ale maisha yale taratibu!!! Ameleta upinzani mpya ndani tanzania yenye deokrasia changa na ukidteta wa chama kimoja
 
Waliofilisika ni waliomchangia/Kaulize wafanyabiashara wa Arusha na kILIMANJARO NA MANYARA waliozagaa Tanzania nzima hali zao waliochangia mamilioni zilivyo hoi.Wengi hawana hamu na siasa na wameapa hawaji piga kura milele.Nenda tu kawatembelee uwaulize.Wengine walikopa kwa ahadi watalipwa mzee akishinda.Mikopo hailipiki wengine wanauza biashara na mali zao.Usimwangalie yeye kaangalie hali za waliomchangia.
Taja mmojawapo inaonekana unawajua sana waliochangia
 
Back
Top Bottom