Kama Lowassa alitumia pesa zake kwenye kinyang'anyiro cha Urais mbona hafilisiki?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,524
21,998
Nimewaza kwa sauti; kama ni kweli Lowassa pesa zote zile alizozitumia kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi na badae kuhamia CHADEMA zingekuwa zake kwanini hajafirisika wala japo kuyumba kiuchumi?
 
Nimewaza Kwa sauti; kama ni kweli lowassa Pesa zoote zile alizozitumia kuwania urais ndani ya chama cha mapinduzi na badae kuhamia Chadema zingekuwa zake kwanini hajafilisika wala japo kuyumba kiuchumi?
************************
Waliofilisika ni waliomchangia/Kaulize wafanyabiashara wa Arusha na kILIMANJARO NA MANYARA waliozagaa Tanzania nzima hali zao waliochangia mamilioni zilivyo hoi.Wengi hawana hamu na siasa na wameapa hawaji piga kura milele.Nenda tu kawatembelee uwaulize.Wengine walikopa kwa ahadi watalipwa mzee akishinda.Mikopo hailipiki wengine wanauza biashara na mali zao.Usimwangalie yeye kaangalie hali za waliomchangia.
 
Nani amekuwambia zilikuwa hela zake? Au hukumsikia yeye mwenyewe akisema michango ilikuwa inatolewa na marafiki zake? Na kama ni zake kwanini siku hizi harambee za kila week hakuna hasa baada ya bandari na TRA kupanguliwa?
 
Mkuu Lowasa ni mchoyo Na mbinafsi. Hutumia raslimali za wenzake kujinufaisha binafsi za kwake hagusi. Anahisa kwenye makampuni makubwa ya kinyonyaji na akina rostam Aziz Na Karamagi kama vile TICS, Vodacom, Dowans, SAS, Ranch za Mifugo, Real Estates Na Madini.

Nitajiri mchoyo Na mbinafsi.
 
Mkuu Lowasa ni mchoyo Na mbinafsi. Hutumia raslimali za wenzake kujinufaisha binafsi za kwake hagusi. .

Kwa uchoyo ni kweli.Kuna mtu wa karibu aliniambia kuhusu uchoyo wake nilichoka.Ni mchoyo huyo hadi nyumbani kwake.Mchoyo mno hadi anatisha.
 
Mkuu Lowasa ni mchoyo Na mbinafsi. Hutumia raslimali za wenzake kujinufaisha binafsi za kwake hagusi. Anahisa kwenye makampuni makubwa ya kinyonyaji na akina rostam Aziz Na Karamagi kama vile TICS, Vodacom, Dowans, SAS, Ranch za Mifugo, Real Estates Na Madini.

Nitajiri mchoyo Na mbinafsi.
Yaani unamwelewa vilivyo.
 
Mhhhh naona msiompenda mnamkomaliaa kumuicha mchoyo na mnashindwa kueleza uchoyo wake upo vp usiyempenda kajaaa ,,,kama msaada ww msaada mara ya mwisho umetoa lin
 
Mkuu Lowasa ni mchoyo Na mbinafsi. Hutumia raslimali za wenzake kujinufaisha binafsi za kwake hagusi. Anahisa kwenye makampuni makubwa ya kinyonyaji na akina rostam Aziz Na Karamagi kama vile TICS, Vodacom, Dowans, SAS, Ranch za Mifugo, Real Estates Na Madini.

Nitajiri mchoyo Na mbinafsi.
NENO
 
Waliofilisika ni waliomchangia/Kaulize wafanyabiashara wa Arusha na kILIMANJARO NA MANYARA waliozagaa Tanzania nzima hali zao waliochangia mamilioni zilivyo hoi.Wengi hawana hamu na siasa na wameapa hawaji piga kura milele.Nenda tu kawatembelee uwaulize.Wengine walikopa kwa ahadi watalipwa mzee akishinda.Mikopo hailipiki wengine wanauza biashara na mali zao.Usimwangalie yeye kaangalie hali za waliomchangia.
Baada ya kushindwa na mbinu yenu ya ufisadi sasa mnakuja na marafiki waliomchangia kweli bongo noma
 
Nimewaza kwa sauti; kama ni kweli Lowassa pesa zote zile alizozitumia kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi na badae kuhamia CHADEMA zingekuwa zake kwanini hajafirisika wala japo kuyumba kiuchumi?
mulize yeye mkuu
 
Back
Top Bottom