Kama Lissu amepona arudi nyumbani kuendelea na ujenzi wa Taifa

Sijajua..... sina uhakika...... si bora ungesubiri mpaka ukajua au kuwa na uhakika
 
Huyu Lisu kwa namna vijana wa upinzani walivyokua wakimsifu nikajua ni Mzalendo mno; ila kumbe ni Kati ya watu hovyo kuwahi tokea.

Yaani kwangu mtu yeyote anayeabudu ngozi nyeupe namshusha thamani kabisa.

Nimemfuta katika orodha ya watu ambao nilidhani wana akili. Bure kabisa.
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Sishauri sana lissu kuendelea kukaa huko na zaidi zaidi kufanya ziara ilhali anajua kabisa yeye ni mbunge na pia jambo hilo linaweza hatarisha ubunge wake kutokana kitakachoonekana kuwa ni utoro.

Sijajua lakini kuna uzembe flani kwa wapizani hasa katika kufanya maamuzi na mbinu za kisiasa na sheria ambazo zinaweza watia matatizoni. Tumeona kwa mbowe na mwenzie ambao kiuhalisia wamestahili kuwekwa ndani kutokana na kudharau mahakama.

Sijajua hesabu zao zilikuwa nini lakini ni wazi zilikuwa miscalculated au za kipuuzi.binafsi nachukia uzembe au kukosa nidhamu. Hawa wanaokosea mashart madogo tu ya nidhamu tukiwapa nchi si watatutia mashakani pia?

Lissu kama umepona rudi home kuna kazi uendeleee nazo. Wasije kunyang'anya na ubunge kwa kosa la utoro.na utakataaje ikiwa unaonekana kwenye media sehemu tofauti na hospitalini?

Wapinzan mnapaswa kila move iwe calculated impact yake.
Tuondolee ujuha wako hapa,mnang'ang'ania arudi ili mumpige bomu maana kwa risasi mumeshindwa, mashetani wakibwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umemuelewa jamaa katoa ushauri mzuri sana..kituo cha matibabu cha lissu ni ubelgiji..lakini kwa sasa yupo ziarani nje ya ubelgiji..ina maana katoka kwenye matibabu..na ana uwezo wa kufanya mambo mengine ikiwemo kutembelea wapiga kura au kutulia tu bungeni..kitendo cha yeye kutoonekana bungeni wakati hayupo kituo cha matibabu huo ni utoro..ikija kumgharimu msije kutoa povu..hata ya mbowe watu walisema mkatoa povu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama wake ni muhimu kuliko huo ubunge, wauaji wapo wanamsubiri arudi wamalizie kiporo cha Dodoma. Hivi kwa nini mtu akiwa CCM anakuwa na roho ya kiuaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Lisu kwa namna vijana wa upinzani walivyokua wakimsifu nikajua ni Mzalendo mno; ila kumbe ni Kati ya watu hovyo kuwahi tokea.

Yaani kwangu mtu yeyote anayeabudu ngozi nyeupe namshusha thamani kabisa.

Nimemfuta katika orodha ya watu ambao nilidhani wana akili. Bure kabisa.
Weusi wenzako wanapotaka kujiunga na kukunyima pesa ya matibabu na mzungu akagharamia matibabu yako nani atakuwa na maana katika maisha yako?
 
Huyu Lisu kwa namna vijana wa upinzani walivyokua wakimsifu nikajua ni Mzalendo mno; ila kumbe ni Kati ya watu hovyo kuwahi tokea.

Yaani kwangu mtu yeyote anayeabudu ngozi nyeupe namshusha thamani kabisa.

Nimemfuta katika orodha ya watu ambao nilidhani wana akili. Bure kabisa.
Huu ndio unafiki..haya ngozi nyeusi wamemuchangia kiasi gani..nchi hii bila unafiki inaweza kufika mbali

Fikiria angelikuwa baba yako au ndugu yako wa damu..ungekuja na hoja yenye uharo kama hii

Tafadhali mwacheni Lisu apumzike kwanza,risasi 38 sio kitu kidogo,ni Mungu tu ndie kampigania..ngozi nyeusi hamkutaka aendelee kuishi

ndio ujue sura halisi ya ma CCM,ni wauaji hao,
 
Huyu Lisu kwa namna vijana wa upinzani walivyokua wakimsifu nikajua ni Mzalendo mno; ila kumbe ni Kati ya watu hovyo kuwahi tokea.

Yaani kwangu mtu yeyote anayeabudu ngozi nyeupe namshusha thamani kabisa.

Nimemfuta katika orodha ya watu ambao nilidhani wana akili. Bure kabisa.
Afadhali lingekufa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishauri sana lissu kuendelea kukaa huko na zaidi zaidi kufanya ziara ilhali anajua kabisa yeye ni mbunge na pia jambo hilo linaweza hatarisha ubunge wake kutokana kitakachoonekana kuwa ni utoro.

Sijajua lakini kuna uzembe flani kwa wapizani hasa katika kufanya maamuzi na mbinu za kisiasa na sheria ambazo zinaweza watia matatizoni. Tumeona kwa mbowe na mwenzie ambao kiuhalisia wamestahili kuwekwa ndani kutokana na kudharau mahakama.

Sijajua hesabu zao zilikuwa nini lakini ni wazi zilikuwa miscalculated au za kipuuzi.binafsi nachukia uzembe au kukosa nidhamu. Hawa wanaokosea mashart madogo tu ya nidhamu tukiwapa nchi si watatutia mashakani pia?

Lissu kama umepona rudi home kuna kazi uendeleee nazo. Wasije kunyang'anya na ubunge kwa kosa la utoro.na utakataaje ikiwa unaonekana kwenye media sehemu tofauti na hospitalini?

Wapinzan mnapaswa kila move iwe calculated impact yake.

LICHIZI KATIKA UBORA WAKE
 
Jamaa wengi wana IQ Ndogo sana.yaani hata ukiwapa ushauri wa kawaida tena kwa lugha ya kistaarabu wanakuja na response za kipuuzi sana. Badaye wataanza kulalamika.

Kama umemuelewa jamaa katoa ushauri mzuri sana..kituo cha matibabu cha lissu ni ubelgiji..lakini kwa sasa yupo ziarani nje ya ubelgiji..ina maana katoka kwenye matibabu..na ana uwezo wa kufanya mambo mengine ikiwemo kutembelea wapiga kura au kutulia tu bungeni..kitendo cha yeye kutoonekana bungeni wakati hayupo kituo cha matibabu huo ni utoro..ikija kumgharimu msije kutoa povu..hata ya mbowe watu walisema mkatoa povu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom