Kama lawama ni mashindano Yanga wapewe ubingwa wao.

Hii ya Masau Bwile kuomba radhi kwa Timu nyingine kama wewe unaona ni la kawaida?
FB_IMG_1581519315988.jpg
 
Mpira ni mchezo wa hadharani, Yanga kulalamika juu ya marefa wako sahihi na malalamiko yao ni ya msingi haiwezekani wao Yanga wakicheza matukio ya penati ambazo endapo zingetolewa zingewanufaisha hazitolewi, Alafu mpinzani wake wa jadi simba amenufaika na makosa ya marefa karibu mechi tano mfulululizo ambazo kama kungekua na umakini ata idadi ya point kati yao ingekua ndogo na hivi tunavyo kandika Simba ingekua imesha tolewa katika FA na mwadui.

Matokeo yake Simba anaweza akawa bingwa wa Vodacom kwa kubebwa, ila aibu inakuja kwenye mashindano ya Caf ya vilabu Timu inapigwa goli tanotano mfululizo mna anza kugombana na Makocha,wachezaji, Marefa mlisha sahau kua hamkustahili kutwaa ubingwa ila mlibebwa.
Kama mnatarajia MO ataendelea kuhonga mbaka kule kwenye mashindano ya vilabu afrika nina hakika ndaniya miaka mitano MO wanakwenda kufilisika kama alivyo poromoka katika jedwali la matajiri vijana wa ki afrika. Kutoka namba moja sasa yupo 16, mwakani atakua 32.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo ndo ulipoonesha uongo wa hali juu, Mo ni wa ngapi kwa matajiri vijana Africa, Au huo utafit mmefanyia pale Kwenye bwawa lenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira ni mchezo wa hadharani, Yanga kulalamika juu ya marefa wako sahihi na malalamiko yao ni ya msingi haiwezekani wao Yanga wakicheza matukio ya penati ambazo endapo zingetolewa zingewanufaisha hazitolewi, Alafu mpinzani wake wa jadi simba amenufaika na makosa ya marefa karibu mechi tano mfulululizo ambazo kama kungekua na umakini ata idadi ya point kati yao ingekua ndogo na hivi tunavyo kandika Simba ingekua imesha tolewa katika FA na mwadui.

Matokeo yake Simba anaweza akawa bingwa wa Vodacom kwa kubebwa, ila aibu inakuja kwenye mashindano ya Caf ya vilabu Timu inapigwa goli tanotano mfululizo mna anza kugombana na Makocha,wachezaji, Marefa mlisha sahau kua hamkustahili kutwaa ubingwa ila mlibebwa.
Kama mnatarajia MO ataendelea kuhonga mbaka kule kwenye mashindano ya vilabu afrika nina hakika ndaniya miaka mitano MO wanakwenda kufilisika kama alivyo poromoka katika jedwali la matajiri vijana wa ki afrika. Kutoka namba moja sasa yupo 16, mwakani atakua 32.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi ambao huwa hamhongi mnabeba ubingwa kihalali mmewahi fanya lipi la kukumbukwa huko CAF???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu siku hizi inalalamika mfano hakuna, kila ikipatwa na dhahama Simba kwao anahusika. Hakuna jema kwao kila kitu lawama.
Wazee wa kupuliza madawa aka mikia fc

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom