Hivi Congo ina bahari au haina bahari

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
515
1,364
Wana Jf huku tumejadiliana tumeshindwa kupata jawabu kila mmoja anavutia kamba kwake.

Hivi Congo ina bahari au haina bahari

download.jpg
images%20(5).jpg
 
Kuna nchi mbili tofauti zinazotumia jina la Congo,

Kuna Congo DRC- Kinshasa ambayo haina bahari ( landlocked) ingawa Kuna eneo dogo inapakana Moja kwa Moja na bahari ya Atlantic.

Pili Ni Congo Brazaville ambayo inapakana na bahari ya Atlantic.

Ipi unayoulizia?
 
Drc ,inapakana kivip
 
Hata google unashindwa namna ya kuitumia?
Watoto wa siku hizi hovyo kabisa.

Wewe mtoto wa siku zile msaidie sasa, sio kumshutumu, isitoshe umejuaje kwamba yeye ni mtoto??-- ni babu yako huyo kama hujui!!🤣🤣
 
Kuna nchi mbili tofauti zinazotumia jina la Congo,

Kuna Congo DRC- Kinshasa ambayo haina bahari ( landlocked) ingawa Kuna eneo dogo inapakana Moja kwa Moja na bahari ya Atlantic.

Pili Ni Congo Brazaville ambayo inapakana na bahari ya Atlantic.

Ipi unayoulizia?
Drc ni land locked country haina bahari?
Are you serious?
Embu kamatilia atlas yako kwanza!
 
Inayo, pwani yake ina urefu wa kama 40km hivi kwenye bahari ya Atlantic.

Kufanya biashara na mataifa ya Asia kama China, India, Malaysia n.k ni rahisi zaidi kwa kutumia bandari za mashariki mwa Africa kama Mombasa na DSM.
Huo ni mkondo tu hawana bahari wale
 
Back
Top Bottom